Mateja wakifanya mjadala

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,223
Teja la 1. :Mwana hivi unakumbuka kwenye jiografia shuleni tulisoma Mrusi alikuwa wa kwanza kwenda space.

Teja la 2. :Kweli mwanangu umenikumbusha mbali,hivi unakumbuka pia U.S.A wa kwanza kwenda mwenzi?

Teja la 1; Nakumbuka sana mtu,kweli majamaa ni noma kwa ugunduzi

Teja la 3: Oyo masela acheni kuwasifia bure eti wamekuwa wa kwanza kwenda huko,mi nimeamua nitakuwa wa kwanza kwenda kwenye jua(sun)

Teja la 1.; mwana unatuzingua kwenye jua huwezi kwenda inachoma ile kishenzi.

Teja la 2; Mwana acha hizo kule lazima utaungua,naona bangi zimekuzidi

Teja la 3;Nye kweli vilaza,mi lazima nitaenda usiku wakati jua limezama najua sintaungua.
 
Teh teh teh...
 
O.M.G,nashukuru hawezi kwenda huko kwani tungempoteza,hii makitu ipo......kama jina lako!
 
O.M.G. kumbe stimu zinasaidia watu kufikiri beyond ze box. Tija wa 3 kula kodo's wangu tukikutana we nidae Tsh. 500 ya unga wa leo
 
..Mkuu hizi zimetulia..tupia basi chengine naona kama unajipakulia tu ..
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom