Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,982
- 45,887
Wanufaika wengi wa "dili" kila inayoitwa siku: hayo ndio yamekua mazungumzo yao.
Wengi wanaombea kasi ya magufuli ipungue ili waendelee na maisha yao ya kila siku ya kutumia vibaya fedha za serikali.
Ilifikia mahali afisa wa serikali alikua na status ya mfanyabiashara mkubwa source ya funds ikiwa fedha za uma.
Baada ya majipu kutumbuliwa hali mtaani imebadilika ghafla. hii ikiwa na maana moja kubwa kua mzunguko wa hela ulikua ukitegemea fedha zinazopatikana isivyo kihalali.
Manunguniko ya sasa, na mategemeo kua magufuli atalegeza kambna ili watu waendelee na life style ile ile ni kiashiria kwamba watanzania wengi tumeukubali zaidi mfumo wa kifisadi: na umekua sehemu ya maisha yetu: hatuwezi tena kuishi kwa kutegemea vipato halali.
Ndugu zanguni hatuwezi kupata maendeleo kwa kuendekeza maisha ya aina hii. lazima tujifunze kuishi kwa vipato halali.
Sitegemei magufuli alegeze kamba turudi tulikotoka; hapana kwakweli tunahitaji kubadilika huu ni mwanzo mzuri.