Match ya Liver na Spurs: Ingekuwa Bongo...huyu paka engepona kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Match ya Liver na Spurs: Ingekuwa Bongo...huyu paka engepona kweli?

Discussion in 'Sports' started by Dark City, Feb 6, 2012.

 1. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,279
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Nimecheka sana kumwona paka aliyeingia uwanjani wakati Liver wanacheza na Spurs....Hata hivyo nimefurahi zaidi kwa jinsi ambavyo ametendewa kwa ukarimu na wadau wote.


  Ingekuwa bongo...unadhani ingetokea nini?

  DC!!
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni, imebidi mpira usimame kwa dk kama 4 hivi kupisha paka aliyeingia uwanjani wakati mechi ikiendelea. Ingekuwa bongo, leo angeshikwa mtu uchawi.
   
 3. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,576
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Alikuwa na rangi gani? Mwekundu au mweupe? Ken Dagleish alionekana Bagamoyo Mlingotini.
   
 4. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 493
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Natamani huyu paka angekuwa huku bongo na angeingia uwanjani siku ya mechi ya simba na yanga.we wiki nzima habari hii ingetawala kwenye vyombo vya habari. Unakumbuka yule mbwa wa polisi alieingia uwanjani na kumkimbiza Haruna Moshi Bobani. Basi zilikuja taarifa kuwa yule mbwa alimfukuza Boban kwa sababu alikuwa ananukia MARIJUANA. Bongo kiboko!
   
 5. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 493
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Vurugu zingetokea uwanjani na huyu paka angekufa papo hapo.
   
 6. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  vichwa vingine sijui vikoje..unatwambia paka badala ya matokeo.
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,227
  Likes Received: 3,147
  Trophy Points: 280
  Wangeitaji damu yake kwanza kabla ya mpira kuendelea
   
 8. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 493
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Dunia kama kijiji kwa sasa fungua website ya www.goal.com utapata matokeo pamoja na taarifa zote muhimu. Anyway matokeo yalikuwa bila bila 0-0.
   
Loading...