Matawi ya juu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matawi ya juu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Asha Abdala, Oct 14, 2007.

 1. A

  Asha Abdala JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2007
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 1,134
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Eti wewe

  Matawi ya juu na matawi ya majuu. CCM walifungua tawi la chama chao uingereza. CUF nao walifungua. CHADEMA nao wanamawakala wao. Sheria ya vyama iko kimya kuhusu matawi haya. Lakini sheria inaruhusu chama kuwa na makundi ya nje ya wananchi wa tanzania yanayokiunga mkono chama. Maswali yangu kwa watanzania wa nje: Je, mnahitaji matawi ya vyama vya siasa vya Tanzania huko mlipo? Kama ndio; yaanzishwe kwa mfumo na utaratibu gani? Na je; yafanye kazi gani za kisiasa? Nauliza haya kwa kuwa wengi mnaonyesha mnaguswa na hali ya taifa ilivyo ilihali nyinyi ni wachangiaji wakubwa wa pato la Tanzania kwa fedha mtumazo kutoka huko mlipo. Na inaelekea wengi wenu mnataka kuwa wadau wakuu wa uchaguzi 2010. Nawaombeni mjadili maswali haya kwa kina. Atakayechangia vizuri zaidi nitampa ile zawadi niliyonayo....

  Asha
   
 2. N

  NakuliliaTanzania JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2007
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 560
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Japo mi si 'mmoja wao' lakini ningekuwa motivated zaidi kama ningejua hiyo 'zawadi' uliyonayo ni ipi?

  asante
   
 3. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2007
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  MMhm kaazi kweli kweli..
   
Loading...