Matawi ya CCM Uingereza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matawi ya CCM Uingereza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwanamasala, Sep 24, 2009.

 1. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kuna Watanzania wanaanzisha matawi ya CCM nchini UK ,miji ya Reading,Birmingham,Southampton ,London na Manchester.

  Cha kushangaza sijui wanapata muda upi wa kuchezea,na je hizi ofisi nani anazi fund kwa ajili ya kuendesha shughuli hizi za kichama.Isiwe wanachotewa hela za walipa kodi wa Tanzania.Wanavaa hata magwanda ya kijani na njano!u cant believe mtu wa Ulaya ku behave hivi ,nafikiri wengi wao may be wanataka kugombea chochote warudipo tanzania.Bado wana uswahili wa kibongo,most of them hata kiingereza hawawezi kuongea vizuri japo wapo kwa muda hapa!

  Kwa habari zaidi,google CCM london then utapata website yao.
   
 2. Bambo

  Bambo JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 237
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  kuna ubaya gani?kuna uhusiano gani kati ya ccm na kuongea kingereza?hata hivyo hii hoja wenzako washaijadili hapa siku nyiiiingi!!!!!
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Sep 25, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,592
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  wapangie timu za kushangilia, makanisa ya kusali, wake na waume wa kuoana nao, wapangie wale chakula gani, wapangie wavae nguo gani, wapangie wawe na future gani.

  Ukimaliza wapangie warudi Tanzania, wapangie waongee lugha gani, wapangie wawe na professional zipi, wapangie nani wa kuwa viongozi nani sio wa kuwa viongozi.

  Ukimaliza hapo rudi Tanzania, anza kutafuta wana CCM popote pale wanaoshinda kwenye matawi yao wakicheza bao, wauzie na ukiweza chuckua nafasi ya Mungu wapangie kila kitu!!

  Utaumiza moyo wako, utapoteza muda na akili zako na mwishowe utapata magonjwa ya ajabu kudeal na kutaka kuwabadilisha watu ambao huwasaidii lolote sio ndugu zako wala hawakaufahamu, wala hawatajaku soma JF na hata wakisoma kamwe hawatafuata uwazacho.

  Kama kijana mdogo au mzee focus on major things, vitu ambavyo ukiweza kufanikiwa kuwabadilisha watanzania utaona tabia zote usizozipenda zinapotea zenyewe.

  Tanzania yetu inahitaji kurudi kwenye basics na foundationa ambazo baada ya kumiss hizo zimepelekea kuwa na tabia zisizofaa kuigwa, kurudi kwenye basics inahitaji indivuala change first, then family ....., tukirudi kwenye basics tutapata majibu ya vitu vingi ambavyo watu wamekuwa wakiumiza makoo yao na akili zao kutaka kuwabadilisha watu waliokomaa na kukulia kwenye mizizi mibaya.
   
 4. F

  FOE Member

  #4
  Sep 25, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kila watu na maisha yao,kila watu na interest zao. Wewe kama huna interest hiyo endelea na unachokipendelea usipende kufuatilia ya wenzio. Kwani wewe unaejua kiingereza unakosa nini kwa wao kujikita katika Chama wakipendacho? Nawe tafuta chako fanya utakavyo.
   
 5. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Sijui kama tutalalamika kama CUF wakianzisha matawi yao Afghanistani au Saudia. Au tutaanza kuwaita majina kwa kuanzisha matawi huko. Sikubaliani hata kidogo na wazo la kuanzisha matawi ya vyama nje ya nchi!
   
 6. W

  WildCard JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2009
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Hili limo kwenye KATIBA yao ya CCM.
   
 7. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ndani ya Tanzania kuna matawi ya vyama vya siasa toka nchi nyingine? (Labour party, Conservative, Republican etc). Kwanini sisi tuanzishe matawi ya vyama nje ya nchi?. Ndiyo pamoja na mapenzi ya nchi, lakini hili suala linabidi kuangaliwa kiundani zaidi.
   
 8. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  kwani hawa wanafanya nini hasa kuitangaza tanzania...............ni kweli tanzania ni ccm au ndo walewale waliopata visa kwa kutumia uccm.Mbona sijaona matawi ya vyama vya nchi za nje hapa kwetu? wanafanya nini kusaidia watz walio masikini,kwani watz wa sasa hawataki kusikia vyama wanataka kuona watu wao wanawafanyia nini kwa nafasi zao.........hawa ndo walewale ccm ndio mama na baba yao.
  Mi naona wanachemsha sana........alafu wananiboa japo baadhi ya wanajf wamemponda sana mwandishi kuwa anafuatilia mambo ya wengine.....
   
 9. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wakati naandika suala hili sikujue tayari suala hili lilikuwa tayari kwenye mjadala hapa JF.Naona wasomaji wamedig dip hasa kwa kiongozi wa CCM London,Mheshimiwa Maina Owino!Ana tuhuma za Daruso,wakati akiwa udsm,may be watu wanaomjua wanaweza kusema lolote ,au yete aje mbele kujitetea.Hata thread moja inasema tawi la London lilipata msaada wa £60,000 au $80,000 toka CCM Tanzania au Commonwealth!!!!Hii ni ajabu sana kama hela hizo zinaweza kutumika kwa hii nonsense!Bora wangenunua
  madawati ya watoo wanaokaa chini ,au kuongeza vitanda hospitalini ,maana mpaka sasa nchini mwetu tangu tupate uhuru,kuna wagonjwa wanashare vitanda hospitalini.

  Isije ikawa matawi haya ni playground ya viongozi wetu ,wanaweza kuchukua per diem kuja kutoa kadi za CCM!!!Tujue kwamba CCM haina pesa,pesa zote ni za walipa kodi wa tanzania!

  Tujadili hili swala,maana ufisadi wa nchi unavuka kinyemela !
   
 10. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Haya ni matusi kwani matawi ya republican tanzania yako wapi?
   
 11. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,636
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Pilipili usioila inakuwashia nini?
   
 12. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  sikia Mkuu kwa tarifa zenu na tarifa za kuaminika tulizonazo hapa jiji Dar, inasemekana wengi wao wameripuwa na kutambulika kama waburundi ,wasomali ,wasudani ,wazimbabwe Nk na wengine ndio wapo mitini ,sasa hayo matawi ya CCM ni chaka lao, kwanini wanafanya hivyo wao ndio wanaelwa ukweli ,na kwa kufikiria kiharaka labda wanajaribu kujiwekea kinga pale patakapo tokea matatizo upande wao chama kiwasaidia wasije kukumbana na sheria hapa bongo kwa kusema hawa walikuwa wanachama wetu wakikitangaza chama kule kwa wafadhili wetu.
   
 13. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,636
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Wacha uzushi wewe...
   
 14. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kifo cha nyani miti yote huteleza
   
 15. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,636
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Vipi kuhusu furaha ya Nyani inapoishia jangwani?
   
 16. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Huko nje bwana kuna watu wa aina nyingi na wenye malengo yaliyo tofauti sana.
  1. Kuna watu ambao walikwenda kwa mialiko ya kishikaji baada ya maisha kuwa tafu hapa home. Hawa wengi wao waliishia kujilipua kuwa ni warundi n.k
  2. Kuna watu waliokuwa na mategemeo makubwa hasa kimasomo na kilichowapeleka majuu ni kuipata hiyo. Miongoni mwao wapo waliosongwa na mitikasi na kushitukia mambo sivyo kama walivyodahani, wameishia kubeba box wakiwa na mategemeo kuwa siku moja jambo litakuwa ndilo. Wengine walifanikiwa kupandisha shule, lkn wakapata opportunity huko huko, na ndio tunaowaona wachache wakifika Tz, japo mara chache chache
  3. Wapo walioandaliwa kuwa Tanzania ni mradi wao, hivyo hawa walipelekwa kwa nia ya kwenda kujionoa ili warudi kuja kuchukua madaraka. Hawa mida mingi mambo yao yako mchongo, na ndio wanaoshiriki kuhamasisha wenzao sio kwa madhumuni ya kumbadilisha mtanzania, ila ni kujiimarisha asijekuwa nje ya mfumo. Si unajua tena kuonana na viongozi wa kitaifa sio ishu hasa mnapokuwa wachache? Hawa wanawatumia WaTz wenzao ughaibuni kama daraja la kujenga cv zao. Vinginevyo, matawi na wanasiasa wenye nguvu ni wale waliopo nchini! Kwa hiyo wafungue hata matawi elfu, sio tija sana!
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ni kujikomba tu kwa mafisadi hakuna jipya.
   
 18. NAHUJA

  NAHUJA JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 15,074
  Likes Received: 15,725
  Trophy Points: 280

  wewe naye kama huna post si uache kuandika maana naona umeandika uozo mtupu sioni hata point hapa
   
 19. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #19
  Sep 25, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,636
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Mafisadi unawajua weye?
   
 20. T

  T_Tonga Member

  #20
  Sep 25, 2009
  Joined: Jul 24, 2007
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna ubaya w ccmkuwa na matawi uk ila kama cuf wakiwa na matawi ndio watakuwa wabaya na yatakuwa makelele mengi lakini ccm wako poa tu kwani hawawalio anzisha matawi ya ccm wengi wao utaona ni watoto wa mafisadi na jamaaza mafisadi wanataka kujipendekeza wengi wao wako mafichoni
   
Loading...