Matatizo ya Tanzania si Lowasa au Chenge ni Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matatizo ya Tanzania si Lowasa au Chenge ni Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Masauni, Jul 1, 2011.

 1. M

  Masauni JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba nitoe maoni yangu kuhusu mustakabari wa nchi yetu Tanzania. Watu wengi wamekuwa wakidhani ufisadi wa Lowasa na Chenge ndo sababu kubwa ya matatizo tuliyonayo Tanzania. La hasha!!. Na ninaelewa kabisa CCM wanajua chanzo cha matatizo ni Raisi wao Kikwete, lakini kwa sababu ya nidhamu ya uwoga hawawezi kusema au kumchukulia hatua. Kwa mantiki hiyi CCM wanataka kuwatoa mbuzi wa kafara Mr. Lowasa, Chenge na wengineo, ili kuwaaminisha watanzania kuwa kwa kufanya hivyo matatizo yatakuwa yamekwisha. Nataka kusema hapa kuwa kujivua gamba kwa kuwachukulia hatua Lowasa at el. will not solve the problems of our country. Kuna msemo usemao MTAWALA ATAWALAPO TABIA YAKE HUWAATHILI WALE WATAWALIWA. Mtawala ni huyo Kikwete, yeye ndo chanzo cha hayo yote naamini hata nafsi yake inamsuta. Lowasa hakuwa mtawala wa nchi, tabia yake iliathiliwa na bosi wake. Mtawala akiwa mwizi basi tegemea wale walio chini yake wataiba kama yeye? Nchi yetu kila idara ni wizi wizi tu! kwa sababu anaye tawala ni mwizi mwizi tu. Viongozi wetu ni waongo waongo tu kwa sababu anaye tawala nchi ni muongo muongo tu. HIYO ROHO MBAYA YA MTAWALA ISIPOONDOKA TUNAJISUMBUA BULE KUHUKUMU WATU WASIOKUWA NA HATIA. NIMALIZIE KWA KUSEMA KUWA TO SOLVE THE OUTCOME OF THE PROBLEM AND LEAVE THE ROOT CAUSE OF THE PROBLEM IS NOT AND WILL NOT BE THE SOLUTION.
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mwongo wewe !design ya kina Edward na Chenge ndio walio mwaribia huyu mkuu ...
  Hawa ndio mapapa walio tufikisha hapa
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  100% NI jk MAANA ameshindwa kuwawajibisha lowassa &co.
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,764
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  wewe ndo walewale wanaomtetea mkwele,
  Yeye ndo chanzo cha matatizo yoote ya nchi hii ni mtu wa utani mwingi na mizaha,
  sasa kwenye mizaha ming na nchi inaenda kimzaha mzaha, tena wakina Lowasa wamemsaidia sana ingekuwa zaidi ya hapa, sasa!
   
 5. M'bongo

  M'bongo Senior Member

  #5
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nonsense!
   
 6. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Jk amwajibishe lowassa!!
  hivi swali rahisi kabisaaa, ni mangapi mabaya ulioyafanya na yule rafiki yako wa kariiiiibu anayajua!!
  leo unaweza kusema mbele za watu mabaya yake??
   
 7. e

  ejogo JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2011
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wote ni walewale tu!
   
 8. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Mdau umelongaaaaaaaaaaa. Huo ndo ukweli hata wakikataaa
   
 9. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  kama kuna mwenye ushahidi wa madhambi ya lowasa aseme sasa. Make sure unauhakika sio ushabiki wa magazeti.
   
 10. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  From your poor thinking!
   
Loading...