William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Wakuu JF heshima mbele sana, ninatatizwa na muelekeo mzima wa NEC katika huu uchaguzi, Technically wanaonekana kuwa na matatizo makubwa sana ambayo yanaweza kuishia kuamsha hisia mbali mbali miongoni mwa wananchi, hasa wapiga kura.
- Lakini at the same token ni fair kuwapa the benefit of the doubt, I mean NEC wanawezaje kutoa matokeo ya uchaguzi wa Singida na Biharamulo, kabla ya majimbo ya Dar!
- Je inawezekana kuwa ni incompetence au uoga? Kama ni uoga wanamuogopa nani na kwa nini?
FMEs!