Matatizo ya NEC: Incompetence or Fear?

Apr 27, 2006
26,588
10,375
- Wakuu JF heshima mbele sana, ninatatizwa na muelekeo mzima wa NEC katika huu uchaguzi, Technically wanaonekana kuwa na matatizo makubwa sana ambayo yanaweza kuishia kuamsha hisia mbali mbali miongoni mwa wananchi, hasa wapiga kura.

- Lakini at the same token ni fair kuwapa the benefit of the doubt, I mean NEC wanawezaje kutoa matokeo ya uchaguzi wa Singida na Biharamulo, kabla ya majimbo ya Dar!

- Je inawezekana kuwa ni incompetence au uoga?
Kama ni uoga wanamuogopa nani na kwa nini?

FMEs!
 
FMES,

The whole thing imekuwa joke kwa kweli.
Watu wazima wamejiaibisha bila sababu yoyote ile. Mimi nadhani ni uoga tu.
Kikwete alikuwa mjanja sana kumweka Kinana kuwa meneja wa kampeni, watu wengi ninaowafahamu ndani ya ccm wanamuogopa Kinana (wanaoelewa story ya kifo cha Kolimba).
 
A little bit of both.

Add in greed as well.

Nadhani ni both na pia possibly kuna instructions from somewhere amabazo zinatakiwa kufuatwa. Hawa jamaa nadhani hawafahamu gharama ya wanachokifanya.

How come upige kura halafu ulinde kura kusuburi matokeo? This is one of the most primitive utaratibu NEC wanataka tuuone ni wa kawaida!
 
FMES,

The whole thing imekuwa joke kwa kweli.
Watu wazima wamejiaibisha bila sababu yoyote ile. Mimi nadhani ni uoga tu.
Kikwete alikuwa mjanja sana kumweka Kinana kuwa meneja wa kampeni, watu wengi ninaowafahamu ndani ya ccm wanamuogopa Kinana (wanaoelewa story ya kifo cha Kolimba).

- Mkuu Solomon, hivi inawezekana tukayajadili matatizo yao yaani NEC in the light of technicalities, maana huenda hata hawana vifaa kabisaa, hakuna elimu ya kisasa ya uchaguzi, I mean kuacha conspiracy theoriesNEC wanaweza wakawa na matatizo genuine ya kitaaluma, au?

FMEs!
 
Huu mwendo wa Kusuasua wa NEC ni Incompetence au Uoga?

Cc: Mzee ES aka WAZEE WA SAUTI YA UMEME.
 
- Wakuu JF heshima mbele sana, ninatatizwa na muelekeo mzima wa NEC katika huu uchaguzi, Technically wanaonekana kuwa na matatizo makubwa sana ambayo yanaweza kuishia kuamsha hisia mbali mbali miongoni mwa wananchi, hasa wapiga kura.

- Lakini at the same token ni fair kuwapa the benefit of the doubt, I mean NEC wanawezaje kutoa matokeo ya uchaguzi wa Singida na Biharamulo, kabla ya majimbo ya Dar!

- Je inawezekana kuwa ni incompetence au uoga?
Kama ni uoga wanamuogopa nani na kwa nini?

FMEs!

Up to now, NEC faces both: incompetence and fear. The same 2010's NEC is the same 2015's NEC. Nothing has changed, and unfirtunately, this current NEC under Judge Lubuva, faces even more challenges than the NEC under Judge Makame.

Vv
 
Back
Top Bottom