Matatizo ya mtandao UDOM

MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,829
5,457
Ni miaka sasa hili tatizo na limekua sugu katika chuo kikuu cha Dodoma, yani sio voda, airtel, tigo wala Halotel. Wanafunzi tunapata sana shida kupata huduma ya internet. Tumeangaika sana kuwasiliana hadi makao makuu ya makampuni husika lakini solution haipatikani.BWanafunzi tunashindwa kufanya shughuli mbalimbali ambazo zinategemea internet.

MAKAMPUNI YA SIMU NAOMBA LIANGALIENI HILI TATIZO KWA JICHO LA KARIBU ZAIDI Maana hali inatisha sana coz inakubidi uwe na laini zote, ukizingua huku uamie huku na wakati huohuo unahitaji kuunga kifurushi.

TUNAPATA SANA SHIDA WANAFUNZI WA UDOM NA HII KADHIA.

CC: Vodacom Tanzania
 
Back
Top Bottom