Matatizo ya Mshono wa Njia ya uzazi

247

Senior Member
Mar 29, 2016
188
197
Habari wana Jf

Kuna mschana alijifungua akiwa na umri mdogo kwahiyo alifanyiwa operation kwenye njia ya kizazi ili mtoto apite (Episiotomy). Sasa tatizo ni kwamba analalamika sehemu zake za siri zinavuta sana kwa ndani
sana sana wakati wa baridi.

Jinsi gani anaweza solve hili tatizo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom