MATATIZO YA HP PAVILION dv 2500

baghozed

JF-Expert Member
May 26, 2011
532
96
lap top yangu hp dv 2500 ilikuja na win Vista,nikatoa nikaweka win 7 pro.sasa nikiiwasha ama kuizima inatoa sauti kama ya ku click vile,pia nikiwa natumia wakati mwingine ina sleep bila sababu yeyote,tafadhali mwenye ujuzi anijibu
 
lap top yangu hp dv 2500 ilikuja na win Vista,nikatoa nikaweka win 7 pro.sasa nikiiwasha ama kuizima inatoa sauti kama ya ku click vile,pia nikiwa natumia wakati mwingine ina sleep bila sababu yeyote,tafadhali mwenye ujuzi anijibu

Umejaribu kuangalia inachukua interval gani mpaka ku sleep? pia ni vema ukaangalia tatizo lolote kwenye cooling system yan feni yako inafanya kazi vizuri
 
kuna ki2 kama chime huwa kinalia vista au Win7 ikiwa inazima sijui kama ndo hyo sound unayosemea ila kama ni hyo ni default na sio tatizo..na inavosleep ni ww unaiacha mda mrefu bila kuitumia,unaifunga lid,au inasleep in the middle of tasks ukiwa unaitumia?
 
nikiwa naitumia mara ghafla tu ina sleep,na nimecheki wala si katika interval sawa sometime baada ya saa 1 kuiwasha mara nyingine chini ya hapo,na nikicheki temperature huwa iko hot
 
hii brand ya HP ni bomu sana. mimi nilikuwa nayo ikaanza kusumbua kuwaka inawaka inazima mara kibao ndio inawaka. baadaye ikawa haiwaki kabisa. nikapeleka kwa mafundi wa hapa Bukoba wakachemka. nikaamua kuipeleka Kampala huko wasema kuwa chip ya Graphics imetengenezwa kutumika katika nchi za baridi hivyo katika nchi zetu hizi haiwezi kuhumili joto hivyo imekufa. wakaniambia niweke motherboard ingine. Nilikubali na sasa inapeta. cjui walinitapeli au vp!
 
hilo pia lawezekana coz hata joto huwa kali sana wakati ina sleep,so ngoja nijaribu kuitumia ktk mazingira ya baridi nione itakuwaje,any way thanx for your help
 
Back
Top Bottom