Mr p_
Member
- Dec 31, 2021
- 58
- 385
Ndugu zangu! Natural ya kila kitu katika hii Dunia ni Sababu!
Na asilimia 95% ya Hali ulionayo hivi sasa Ni matokeo ya maamuzi yako Binafsi.
Nina maanisha mahala ulipo hivi Sasa Ni matokeo ulioyafanya Jana. Na utakapokuwa kesho ni matokeo ya maamuzi utakayo yafanya leo.
Usia wangu! Hauwezi kuwa na experience ya maisha bila kujifunza na kutenda Yafutatayo kwa vitendo.
1. Jisamehe katika kila kosa liliokuwa sababu ya kukurudisha nyumaa.
Kama hutojipa mwanzo Mpya wa kuanza upya huenda kwenye biashara, mahusiano hata kazi, basi kila siku kwnye maisha yako utajiona ni mtu wa kukosa na mwenye gundu katika hii Dunia. Hivyo kubali ulikuwa sababu lakini kwa sasa umeamua kutumia makosa hayo kujifunza na kuanza safari Mpya ya maisha! "Kwenye maisha hakuna kuchelewa Wala kuwai, Ila Kuna muda sahihi kwako"
2. Usikubali kufanya makosa Yale Yale katika maisha yako!
Kama kwnye maisha yako Utakuwa mtu wa kufanya makosa Yale Yale Basi usitegemee Kama makosa yanaweza kuwa MWALIM kwenye maisha yako, ujinga ni kufanya kitu kile kile kwa namna ile ile na kutegemea matokeo Tofauti! Kuanzia Leo Kama sababu ya wewe kuwa nyuma kimaendeleo ni marafiki basi kuanzia leo achana nao anza njia Mpya! Kama Tatizo Ni mwenza wako tafuta sababu! Yaani kwnye maisha epuka sana kurudia makosa ya Aina moja kwenye maisha yako.
3. Makosa) matatizo Ni sehemu ya maisha, yasikubabaishe.
Naomba nikuhakikishie kuwa mpaka unaondoka kwnye hii Dunia Utakuwa mtu wa kutatua shida na matatizo mbalimbali, kwasababu asili yetu sisi Kama binadamu Ni kusolve masuala tofauti ndio maana huu uwezo haupo kwa kiumbe yoyote Ila mwanadamu! Kwaiyo jiandae kisaikolojia kuwa muda wowote, saa lolote Kuna shida inakuja mbele yako, na kulalamika kwako sio sababu ya kutatua, kuhadisia matatizo yako kwa watu wengine, sio sehemu ya kutatua, Ila njia Bora ya kutatua hayo yote au matatizo ni kuamini upo kwa ajili ya kuwa suluhisho, na kila Jambo linatabia ya kuwa na mwanzo na mwisho so your current situation sio guarantee ya kufa masikini pambana! Kuwa na msongo wa mawazo sio njia ya kutatua shida yoyote hapa Duniani.
4. Ili uwe na Experience ya maisha ishi kwa Tahadhari.
Nakupa mfano mdogo tu kwako wewe, licha ya kuwa na marafiki na ndugu wengi; kwenye maisha yako lazima Kuna siku uliwai kukosa kiasi Fulani kidogo Cha pesa ambacho hivi Sasa unacho hata Mara mbili yake. Funzo langu kwako!!! Usidharau kiasi chochote Cha pesa hivi Sasa, Mana kufikia kesho kinaweza kuwa na mchango Mkubwa Sana.
5. Katika maisha yako! Usijaribu kuweka matarajio ya kusaidiwa shida yoyote kutoka kwa mtu yoyote!
Jiandae wewe Kama wewe kuwa muhimili wa kutatua kila kitu kwenye maisha yako.
Ukiwa na hiyo mentality utaona kila rafiki yako ni mnafki! So jifunze kujiamini na kuwa tayari kupambana na kila kitu..
Mwisho, usije kudharau uwezo wako, Kuna watu unawaheshimu Sana lakini matendo wanayofanya nyuma ya pazia Ni aibu!! Hivyo kila utakae muona mbele yako Ni taira mpaka ajiprove yeye sio taira!!!
Jiamni jiamini maisha yapo mikononi mwako