Matatizo na njia za utatuzi

salum mbepwa

New Member
Apr 9, 2020
3
0
Mfumo wa sheria, matumizi ya sheria mazuri ya sheria, sheria inapotumika vibaya hupelekea kutokuwepo na haki za binadamu kwani kwa watu ambao wanatamani kutoa mawazo yao au kukosoa selikali hubambikiwa makosa ya jinai. Mfano kesi mbalimbali za wanachama wa chama pinzani kwa kugunguliwa kesi za uhujumu uchumi.

Kuboresha mitaala ya elimu. Elimu inayotolewa Tanzania inaongozwa na mitaala isiyokidhi jamii kwa sasa kwani elimu yetu inajikita katika kuwapa vijana elimu ambayo lazima ategemee kuajiliwa na sio kujiaajili na papo hapo idadi kubwa ya wanafunzi waluomaliza na idadi ya watu wanaoajiliwa. Ili kumaliza tatizo hili inapaswa kubadili mfumo wa elimu jambo litakalopelekea kuwepo na elimu ambayo itamfanya mwanafunzi anapomaliza kusoma kwenda kujiaajili kwenye jambo alilolidomea sasa unaposema kijana ajiajili na ametoka kumaliza chuo mfano MTU amesomea ualimu ajiajili kwa kufungua shule ambalo ni jambo gumu sana kwa vijana.

Nyanja ya siasa kumekuwa na tatizo sugu sababu katiba yetu inaupa nguvu zaidi upande mmoja ambayo upon madarakani sasa jambo ili kuweza kutatatua ni lazima itungwe katiba ambayo inaweza kuendana na mahitaji na ambayo itafanya kuwepo kwa Uhuru na haki katika uchaguzi pasipo katiba mpya sahau uchaguzi wa haki. Suala la katiba iliyopitwa na wakati imekuwa ni tishio katika upokwaji wa haki kwani Luna mhimili una nguvu sana kuliko kawaida.

Kwenye suala la uchumi huku kuna uwanja mpana ila cha kwanza ni lazima Serikali iwajibike kwa asilimia mia moja waweke uwepesi kwenye kila nyanja ya upatikanaji.

Pili vijana wapewe elimu vizuri itakayowafanya waweze kujikwamua kiuchumi mfano sekta ya kilimo ni miongoni kwa sekta zenye pesa nyepesi na raisi ila solikali aijatengeneza mazingira ragiki yatakayo wafsnya vijana kujikita kwenye sekta hiyo mfano kilimo cha maindi, nyanya,vitunguu hususani vilimo vya Mali mbichi ndo vinaongoza kwa kuwa na faida ila vijana wengi hawana mitaji na hawana elimu juu ya kilimo.

Pia wanamapungufu machache ambayo yana wafanya kuzorota kama, uoga, uthubutu na upungufu.
 
Kweli kabisa hili la elimu wangelifanyia kazi haraka tusingekuwa na wanafunzi wengi wanaotegemea ajira,mbona kwenye tozo mpya wamefunguka upesi na kudai wemefanyia utafiti! Hili la elimu kinashindikana kitu gani?

Kuna watu wa haki elimu, maafisa elimu, walimu wa shule za msingi na secondary zote, wadau wa elimu, wahadhiri wa vyuo vya kati na vyuo vikuu nk.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom