1. Tatizo la umeme - Palikuwa na sababu gani ya umeme kukatika katika wakati walipotumbuliwa tu vigogo wa TANESCO tatizo likaisha.
2. Kulikuwa na tatizo gani mradi wa Udart- sahivi magari yapo ya kutosha na hakuna kuwekana kwenye foleni muda mrefu.
3. Tatizo la ukosefu wa madarasa kila mwaka mpya wa masomo mpaka kuwe na second selection. Mbona sasa madarasa yamekamilika baada ya Ummy Mwalimu kushuka wizara.
4. Tatizo la bei ndogo ya mazao. Mbona sera zimekaa sawa sahivi mbaazi na korosho bei imeanza kuwa nzuri.
Sasa tumetengeneza tatizo la wamachinga ambalo nalo tunaenda kulitatua. Kwanini kasi hii hii isiende mpaka NIDA ambao hawatoi vitambulisho?