Matatizo makubwa ya wanaume chumbani

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,645
155,015
  • Dubwana kugoma kupanda mtungi.

  • Kibamia
  • Low sperm count

  • Dubwana legelege.
    • Wanaume wana matatizo tofauti tofauti, lakini wanajifariji kwa tiba feki ambazo hazina mashiko, Mara karanga mbichi, mchuzi wa pweza, mihogo mibichi, vumbi la Kongo etc​
    • Acha ufala kama una tatizo, achana na hayo maujinga ya mtandaoni, Nenda hospitalini, sio kila MTU ana tatizo kama lako​
 
Back
Top Bottom