Matatizo kwa baadhi ya wanaume sasa basi

health

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
325
38
REVIVE

Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.

KAZI YA REVIVE

  • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
  • Kutibu impotence(mahanisi)
  • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37’’C.
  • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
  • Kutibu maumivu ya kiuno
  • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
  • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
  • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa
Wengi wameshatumia na kuona uzuri wake na kuitolea sifa nzuri sana kutokana na matokeo yake.
Gharama yake ni Tsh 60500/- tu
Ukiihitaji hiyo usipate shida tunaweza kuwasiliana kwa namba 0776491294 pia unaweza kunitumia barua pepe. ishealthy@hotmail.com.
 
Attachments

  • REVIVE.jpg
    REVIVE.jpg
    134.6 KB · Views: 131
Ushatumia kaka? Ushuhuda tafadhali
WATU WENGI WALISHATUMIA NA WAKASHUKURU King'asti. KWA SASA WENGINE WANAULIZA MLIKUWA WAPI?????
HIYO NI KUTOKANA NA JINSI WALIVYOKUWA WAMEKATA TAMAA KUHUSU TATIZO LILILOKUWEPO IKIWA NI PAMOJA NA MATUMIZI YA DAWA MBALIMBALI BILA MAFANIKIO
 
Tunaomba pia mtupe na madhara yake mana isije ndo ikawa htr
Usiwe na wasiwasi Eric. Hii haina madhara yoyote katika afya na wala siyo dawa. Imefanyiwa utafiti wa miaka 4000 hadi sasa inakubalika kutumika kwa kuzingatia vithibitisho vyote vya kiafya.
 
Mnaibuka tuuu oooh wanaume wenye kutaka bao mbili bila kushuka..jamani tusidanganyane na midawa ya uchwara hiii...Baadae mtataka wanaume wasiwe wanashuka wakishapanda kwa madem zao...ni mwenda wa mabaooo tuuuu...Mapenz ni zaidi ya NGONO...
 
Usiwe na wasiwasi Eric. Hii haina madhara yoyote katika afya na wala siyo dawa. Imefanyiwa utafiti wa miaka 4000 hadi sasa inakubalika kutumika kwa kuzingatia vithibitisho vyote vya kiafya.

Utafiti 4000yrs!Inabidi utuambie kama ni BC au AC
 
Mnaibuka tuuu oooh wanaume wenye kutaka bao mbili bila kushuka..jamani tusidanganyane na midawa ya uchwara hiii...Baadae mtataka wanaume wasiwe wanashuka wakishapanda kwa madem zao...ni mwenda wa mabaooo tuuuu...Mapenz ni zaidi ya NGONO...
Huo ndiyo mtazamo wako zethumb.
 
Back
Top Bottom