TUNTEMEKE
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 4,587
- 579
Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilemela ndg Henry Matata bado anaendelea kukaklia kiti kama Meya wa manispaa ya Ilemela kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka ndani ya jiji la mwanza.
Taarifa zilizopatikana jana na kuwafikia wadau mbalimbali ambapo kama kawaida ya watanzania waliowengi kuchukulia mambo kishabiki bila kufanya utafiti wa kina .
Waliingia mitaani na kwenye mitandao ya kijamii wakisherehesha kionjo hiki kuwa MATATA KAFUKUZWA UMEYA BAADA YA KUSHINDWA KESI ALIYOKUWA AMEFUNGUA MAHAKAMA YA MWANZO YA KUPINGA KUVULIWA UANACHAMA DHIDI YA BODI YA WADHAMINI.
Kilichofanyika jana na mlalamikaji ambae ni Matata ni kufuta kesi hiyo aliyoifungua mahakama ya hakim mkazi huku AKIWA NA KESI YA AINA HIYOHIYO MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA,hivyo basi Matata ameendelea kuwa diwani wa mahakama na Mstahiki Meya wa manispaa ya ilemela Kisheria..karibuni