Matarajio yanayoweza kupelekea ukapata Msongo wa mawazo

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
IMG_20210424_134711_155.jpg


Kuamini kuwa watu wanaokuzunguka wanatakiwa kujua unachotaka bila kuwaambia

Unataka watu wote kuwa kama wewe

Kufikiria kuwa unaweza kubadilisha mitazamo ya wengine

Kufikiria kuwa huwezi kuwa na furaha mpaka upate kitu fulani
 
Bahati mbaya jamii za kileo wanamtizamo wa kuangalia vitu walivyo navyo kama chanzo cha furaha,Hii ni mtizamo potofu kwa sababu siku zote kuna watu ambao wako mbali kwa mafanikio kuliko wewe,Wana magari, majumba,wana Elimu nk..hivi ni baadhi tu ya mahitaji ya watu, Lakini ukishindwa kuutambua umuhimu wako utaishia kuviwaza na kupata msongo wa mawazo ukaifikiria dunia kwa mtizamo mwinginekabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom