Nimepigiwa simu na number hiyo 0657006877 wanasema wao ni Tigo Bima.. Sasa wanatoa mikopo ya 2,500,000/= lakini lazima utume kwanza tsh 36,000/= ndipo wakupatie mkopo ndani ya dk 3.
Cha kushangaza wananiuliza unaitwa nani? Unakaa wapi, kitambulisho chako number gani. Sikuwapa ushirikiano na nilipotembelea web ya Tigo Bima Nikakuta wanasema kama mtu akikwambia utume pesa kwa ajiri ya mkopo au kazi jua ni scam.
Hivyo nina uhakika kwamba hawa ni matapeli. Jihadhari na number tajwa hapo juu.