matapeli waliouza viwanja vyetu wilaya ya kinondoni hii hapa bila hata aibu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
yaani hilo baba lenye miwani mi nilikuwa naliombea Mungu kweli limalizie maisha yake segerea lilikuwa jirani yetu yaani na kajumba kachafu gafla akakavunja aliporomosha nyumba zakina papa kila mmoja akaogopa ...baada ya muda akahama..akapangisha ,pemben emeweka kajumba kadogo akawa anafanya ofisi yake ya kuelewana na matapeli wa viwanja gafla nikasikia kanunua nyumba mbezi beach...pili ni katili sana hana utu kabisa nafikiri ni zile za viwanja zilimchanganya sana
Kazi kwenu

DSC_0001.JPG
 
Back
Top Bottom