Matapeli wakubwa 5 kuwahi kutokea Tanzania

Kuna matapeli ambao wangetumia hii akili kufanya ujasiriamali hata bakresa ungetupa kule!kuna siku nikiwa safarini kutoka moshi kwenda arusha njiani pale kia costa ilisimama wakapanda masai wawili na jamaa mmoja.wale masai wakasimama mbele yule aliepanda pia akawa anajisonga hadi akafika nyuma kabisa ya basi safari ikaendelea kufika katikati sehemu hakuna kituo yule jamaa kule nyuma akaanza kupaza sauti ashushwe hapo ikawa anabishana na konda ila jamaa akawa mkali anawaka hadi abiria wakaingilia kwamba jamaa ashushwe mbona hata wao costa wanapakia sehemu hakuna vituo basi washushe pia pasipokuwa na vituo!costa ikasimama jamaa akaanza kujivuta polepole kama kinyonga konda akawaka unatupotezea muda shuka fasta jamaa ndo kwanza anajivuta!ile amefika mlangoni tayari RAV4 imeblock mbele wakashuka jamaa wawili wana makoti kama askari wakamkamata yule jamaa wakampa vifuti vya kutosha kwa wewe jambazi leo tumekukamata siku nyingi unatafutwa haya onyesha wenzio wako wapi?!akawataja wale masai wote wakaingizwa kwenye Rav4 wakasepa kumbe masai walikuwa na madini ya tanzanite wanaenda kuuza arusha.ule mchezo niliuelewa mwishoni baada ya kutafakari nikacheka tu
Inasemekana baadhi ya matapeli huwa wanatumia nguvu za giza,he jamabo hili linaukweli ndani yake?
 
Katortoise na yule mtabiri wa nyota je?


Mana kwenye dini nako kuna matapeli balaa
 
Ahahahahaha Batenga alikuwa legend kweli sekta hii!
Aliwahi kuingia dukani kuulizia suit,akaipenda moja.akuliza chumba cha kujaribu ili akaonyeshwa kuingia kapiga uzi wake fresh paap akatoka!
Wauzaji, mzee vip?
Akaanza kuwashangaa wao,kwani vp kijana?
Mzee suti hujalipia
Nyie vijana mna akili kweli,ina maana mimi nimekuja U.chi hapa?
Huyooooooo anafungua mlango,taartiiiiiibu anaambaa na samora!

Hiyo Tisa,
Lile jengo la ghorofa moja pale Victoria unalikumbuka habari yake?
Batenga habari nyingine!
Hapo kwenye kutapeli suit duuuh

Shikamoo kwake
 
VIONGOZI WA SIMBA, VIONGOZI WA YANGA, VIONGOZI WA TFF,MSHIKO NJE NJE,3MZUKA NA WAZEE WA KAMATI ZA UFUNDI ZA SIMBA NA YANGA
 
Kama huna data usiandike uongo na ushenzi kama huu unataka tusimzungumzie Lissu ehee.PLAY FOR TUNDU ANTIPAS LISSU.
 
Kuna tapeli yule alichukua hela za watu akawaingiza Depo bila kuwa na sifa ...sjui anaitwa nani. Anayekumbuka kisa hiki ebu atukumbushe
 
Back
Top Bottom