Matapeli wagundua mbinu mpya za kuwaibia! Fungua hapa ujionee!

Hapa tusidanganyane, watapatikana wengi sana! Thanks for the alert!
 
Ila hii kitu Dar haijafika jamani. Hiyo incidence inayosemwa hapo ni Nairobi
 
Kwani Nairobi ni sayari ya mars?jamaa katoa tahadhari dunia ni kijiji wajameni
 
Asante pape. Lakini nina swali. Watrack vipi wakati bongo hakuna mitaa? Labda kama wanatumia GPS.
Naona itakuwa ni sawa na kukufuata physically.
Lakini wakiingia kwangu wamekwisha. Lazima nizae nao halafu ndo niite polisi waje kuchukua mizoga.
 
hehehehehehe!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom