Anti-Hacker
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 804
- 1,231
Halafu sikujua wewe ni mfupi kiasi kile aisee..yani mdada mfupi mpaka unaweza kutembea uvunguni mwa kitanda
Kweli nyani hulicheka kundule...
Halafu sikujua wewe ni mfupi kiasi kile aisee..yani mdada mfupi mpaka unaweza kutembea uvunguni mwa kitanda
Mbna ndan kwenu pachafu mpka inzi na mende wanatema mateNini na wewe una mdomo mchafu mpaka ukitema mate yanakuwa mbolea.
Muone kwenu kuchafu hadi nzi wanavaa gloves.Mwembamba mpaka ukisimama kituo cha daladala na abiria wenzio konda anasema hatupakii miwa
Hahahahhahaha hahahahha hahahhha hahahahah hahahaha nmekubali kakaMuone kwanza matege kama upinde.
Wewe mshamba mpaka ulipakua toothpick kama chakula
Unajikuta mweupe, mara maji ya kunde...kumbe mweusi kama usikuMuone kwanza umezeeka mpaka mifupa yako ina pimples