Matani

Hongera, demu wako ni mzuri mpaka yeye huwa anakojoa cocacola!

Wewe ni mjinga hadi umeweka picha ya daktari nyumbani kwako ndio mkiumwa mnatumia ule usemi wa, 'maumivu yakizidi, muone daktari!'

Wewe ni mchoyo mpaka ukitema mate unatemea kwenye mfuko!

nasikia Mentor umo kwenye list ya most wanted Milembe hosptal
 
Ndo maana wewe ni mweusi hadi nikifungua picha yako - whatsapp display picture - simu inakuwa kama imezimwa!

Ahahahaha eti wewe ni danda hadi ukitupa mawe chini una-miss!!!!

Ndo maana wewe huna shepu hadi kivuli chako kinakukataa!!!

Niondolee kichwa kama parachichi la kijiji
 
Hongera, demu wako ni mzuri mpaka yeye huwa anakojoa cocacola!

Wewe ni mjinga hadi umeweka picha ya daktari nyumbani kwako ndio mkiumwa mnatumia ule usemi wa, 'maumivu yakizidi, muone daktari!'

Wewe ni mchoyo mpaka ukitema mate unatemea kwenye mfuko!

mmetisha aaaah
 
Wazee naombeni mzoefu, nikifanya application ya kazi zoomTZ hivi najuaje kama zimepokelewa wazee, mwenye uzoefu tafahdari, niko juu ya magogo!!
 
Wazee naombeni mzoefu, nikifanya application ya kazi zoomTZ hivi najuaje kama zimepokelewa wazee, mwenye uzoefu tafahdari, niko juu ya magogo!!
geuka nyuma hapo ulipo utaona jibu lako au usubiri leo utaota.

Nb: umejileta kwenye uzi usiyo. Hadi upigiwe simu mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom