Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,879
- Thread starter
- #781
ha ha ha i like it ila mbavu ka ukuta wa jiko
Hongera, demu wako ni mzuri mpaka yeye huwa anakojoa cocacola!
daaah..we mentor ni noma kwelikweli
Wewe ni mjinga hadi umeweka picha ya daktari nyumbani kwako ndio mkiumwa mnatumia ule usemi wa, 'maumivu yakizidi, muone daktari!'
Aiseee huu uzi nimechekaaa....
Wewe ni mchoyo mpaka ukitema mate unatemea kwenye mfuko!