Matani

Hii kitu inanikumbusha machungu ya uchaguzi wa 2010. Nilisafiri kutoka Arusha kwenda dar kuwahi kituo changu cha uchaguzi nikaishia kulizwa na matokeo ya jumla. Ila hii kitu ilinifanya nicheke nikiwa mwenyewe chumbani.
Thanks Mentor
 
kichwa kama kifungo cha suti,......kichwa kama tofi iliyotafunwa,..........kichwa kama ugali ambawo ujarushwarushwa.
 
Nimeitafuta hii thread Hadi nimechoka ...at last naipata

Ndo maana wewe ni mweusi hadi nikifungua picha yako - whatsapp display picture - simu inakuwa kama imezimwa!


Kwenu mnanuka jasho hadi magufuli anaogopa kuja kuwatumbua majipu

Ahahahaha eti wewe ni danda hadi ukitupa mawe chini una-miss!!!!

Duh yaani umekomaa kiasi kwamba ukifumba macha yanalia kacha!! kama kamera

Ndo maana wewe huna shepu hadi kivuli chako kinakukataa!!!
 

Similar Discussions

20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom