matangazo ya "zungumza na mwenzio" sasa kiutu uzima magazetini!!!

minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
65
matangazo haya maarufu kwenye tv yanayodhaminiwa na "watu wa amerika" , sasa yanatangazwa magazetini kwa njia ya picha za wahusika wale wale wanaotumika kwenye tv na kuandika maneno yanayozungumzwa mithili ya katuni ( wrap tags).


yule kuku aliyeonekana mzima kwenye hotpot na kukimbizwa na mume, sasa tayari ameshapikwa na mume; (yule jamaa maarufu ofisini) na mke alipofika jikoni mazungumzo yakawa hivi:



yf: kumbe wewe fundi wa kupika vizuri hivi?
hb: unataka nikuoneshe ufundi mwingine?



kwenye tangazo jingine scenario ikawa hii;

yf: (akimtazama mumewe usoni) nataka nikuambie kitu.
hb:Ah...macho yako tayari yanaongea.



nawasilisha.

:kiss:
 
hivi huwa wana maana gani hayo matangazo? Mi siyaelewi kabisa, naona kama ze comedy.
 
Back
Top Bottom