Matangazo ya tiba ya "Bure" ya Malaria ni upotoshaji wa gharama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matangazo ya tiba ya "Bure" ya Malaria ni upotoshaji wa gharama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ntemi Kazwile, Dec 6, 2011.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kuna matangazo ya dawa ukoko za kupambana na malaria.
  Tatizo kubwa kwenye tangazo hili ni ujumbe unaotolewa kuwa gharama zote zinalipwa na serikali, ukweli wa mambo kuwa serikali haina hela bila ya wananchi, kwa nini sasa tangazo hili halielezi ukweli kwamba gharama zimelipwa kutokana na kodi za wananchi?
  Nadhani sasa umefika wakati wasomi na watu wote wenye uelewa watoe elimu ya uraia kuhusu namna serikali inavyopata pesa na matangazo ya namna hii yapingwe kwa nguvu zetu zote.
   
 2. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Dawa ukoko ndo dawa gani hizo? Mitishamba au!
   
 3. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Au labda ndio hizo zinazoitwa mseto?
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  cku hizi hata siangalii tv na rdio uchwara za bongo.nikashapita jf inatosha najua hata hotuba ya mkare ya ijumaa
   
 5. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Ni insecticide, za kuua mbu sio kutibu malaria
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Haya mambo ya hii SIRI Kali we yaache tu yatakusumbua sana tu!
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu nilishangaa kusikia dawa za ukoko za malaria!! Najua ukoko ni ugonjwa wa mimea!
   
Loading...