Matangazo ya mashirika ya BBC na VOA nchini Burundi yapigwa marufuku kwa muda usiojulikana

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,312
2,000
Serikali kupitia Baraza na Mawasiliano la Taifa(CNC) imezuia matangazo ya Shirika la habari la nchini Uingereza(BBC) na Redio za Shirika la Habari la nchini Marekani(VOA) mpaka hapo itakapotangazwa vinginevyo

Inaelezwa kuwa sababu kubwa ya kufungiwa kwa matangazo ya Mashirika hayo ni kutokana na Serikali ya Burudi kuvishutumu kutoheshimu sheria na kutokuwa na utashi wa Kiuandishi

CNC imesema "Kuzuiliwa kutangaza kwa VOA kunaendelea hadi itakapotangazwa vinginevyo, hivyo basi ni marufuku Mwanahabari yeyote raia wa Burundi au Mgeni anayeishi Burundi kuripoti kwa VOA(Voice of America)

BBC inashutumiwa kwa kuongeza mafuta kwenye video inayoonesha ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ukifanywa na Afisa Usalama wa Burundi, video ambayo Serikali imesema kwa kiasi kikubwa imetengenezwa

Aidha, VOA inashutumiwa kwa kuendelea kuajiri Wanahabari ambao Serikali iliwakataza wasiwaajiri kwani Wanhabari hao natakiwa kujibu mashtaka yao ya kudaiwa kuhusika katika vurugu za uchaguzi zilizotokea mwaka 2015
=====


The Burundi National Communication Council, CNC, has issued a communinqué reiterating the suspension of the British Broadcasting Company(BBC) and Voice of America(VOA) radios to broadcast in Burundi ‘until further notice’.

The CNC has said in its statement issued on March 29, 2019: “The suspension of the VOA is maintained until further order…therefore, it is forbidden for any journalist, either Burundian or foreigner living in Burundi to report directly or indirectly to the Voice of America”.

The same stern statement was issued by the National Communication Council for the BBC, thus ‘forbidding any journalist to report for BBC while in Burundi’.

THE BIG PICTURE: The government of Burundi had announced the temporary suspension for six months of these international radios, accusing them of ‘lack of professionalism in their journalism‘.

Nevertheless, after these six months ban, the restrictions on these international broadcasters have not been removed, Burundi citing ‘recidivism’ or ‘relapse in error’ by the BBC and VOA.

The Britsih Broadcasting Company was re-accused of ‘adding fuel to the fire’ by broadcasting controversial footage showing the ‘alleged gross violations of human rights in Burundi by intelligence officers’. Burundi government ‘brushed aside this BBC footage, claiming that it was a ‘mere fabricated story’.

Then, BBC has seen its permission to rebroadcast in Burundi being suspended ‘until further order’ by Burundi governement.

Same as the VOA, Burundi accused this international radio of ’employing Burundian journalists which are sought by Burundi justice to answer for their ‘probable participation in the 2015 attempted coup’.

Burundi has told VOA to cease employing these journalists and then resume its activities and rebroadcast in Burundi.

After considering that VOA did not abide by the rules to sack the wanted journalists, Burundi has taken the decision to maintain the ban of VOA broadcasting in Burundi ‘until further order’.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Penologist

JF-Expert Member
Feb 25, 2019
546
1,000
Safi sana Burundi kwa kuwa nguvu ya kimamlaka hao watu wanakuza mambo hasi ya afrika kuwa makubwa kwenye vyombo vyao huwa hawawasilishi mambo chanya kuhusu afirka.
 

esther mashiker

JF-Expert Member
May 29, 2018
616
1,000
1553888273696.pngSerikali ya Burundi kupitia Baraza la Mawasiliano la Taifa (CNC) imezuia matangazo ya Shirika la habari la nchini Uingereza (BBC) na Redio za Shirika la Habari la nchini Marekani(VOA) mpaka hapo itakapotangazwa vinginevyo

Inaelezwa kuwa sababu kubwa ya kufungiwa kwa matangazo ya Mashirika hayo ni kutokana na Serikali ya Burudi kuvishutumu kutoheshimu sheria na kutokuwa na utashi wa Kiuandishi

BBC inashutumiwa kwa kuongeza mafuta kwenye video inayoonesha ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ukifanywa na Afisa Usalama wa Burundi, video ambayo Serikali imesema kwa kiasi kikubwa imetengenezwa

Aidha, VOA inashutumiwa kwa kuendelea kuajiri Wanahabari ambao Serikali iliwakataza wasiwaajiri kwani Wanhabari hao natakiwa kujibu mashtaka yao ya kudaiwa kuhusika katika vurugu za uchaguzi zilizotokea mwaka 2015.

CNC imesema "Kuzuiliwa kutangaza kwa VOA kunaendelea hadi itakapotangazwa vinginevyo, hivyo basi ni marufuku Mwanahabari yeyote raia wa Burundi au Mgeni anayeishi Burundi kuripoti kwa VOA(Voice of America)
 

Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
24,486
2,000
Tanzania Ni wakati Muafaka kuhakikisha Radio Na TV Za ndani hazirushi Live MatangaZo ya Radio hizo Za Mabeberu

Lazima TCRA wawe wanahakiki vipindi vya BBC Na VOA kujiridhisha Na Muktadha Na nia Njema Za habari hizo kwa Taifa kabla ya kwenda Live
 

titimunda

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
7,588
2,000
Tanzania Ni wakati Muafaka kuhakikisha Radio Na TV Za ndani hazirushi Live MatangaZo ya Radio hizo Za Mabeberu

Lazima TCRA wawe wanahakiki vipindi vya BBC Na VOA kujiridhisha Na Muktadha Na nia Njema Za habari hizo kwa Taifa kabla ya kwenda Live
Naunga mkono hoja,ikiwezekana vyombo binafsi na vile vya nje vyote vifungwe tubakie na TBC tu na magazeti ya serikali pamoja na lile la chamadola.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom