South
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,514
- 5,137
Habari zenu jamani, kwa muda mrefu nimekua nikiona thread zinazohusiana na hizo dawa hata mabango ya waganga na wanavyojitangaza kwamba wanatibu tatizo hili maarufu. Lakini siku zinavyozidi kwenda matangazo haya yamezidi kupungua, je hili tatizo limeisha kwa wahusika au hawa watoa tiba ni matapeli? Vipi kina dada saiv mnapewa doz kamili hakuna kimoja tena?