Matangazo ya dawa za nguvu za kiume, kuongeza uume yalivyoshamiri!

mr vata

JF-Expert Member
Jan 30, 2017
462
605
Wakuu,

Hili suala linatafakarisha sana. Ni kweli Watanzania (wanaume) tuna matatizo ya nguvu za kiume kwa kiwango hiki cha wingi wa matangazo ya dawa?

Na ni kweli tuna size ndogo za uume kiasi hicho? Maana ukiangalia wingi wa matangazo inaonyesha tatizo ni kubwa sana. Sasa nini chanzo cha hili tatizo? Na nini maoni yako kwa katika hili?

Je, wanawake wao sio chanzo cha hili tatizo kwa wanaume? Maana nijuavyo mimi ukubwa au ukubwa wa mguu unategemea na kiatu unachokivaa.

Nini maoni yako?
Tiririka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... majizi tu hao; tungekuwa na hayo matatizo tusingeongezeka kama utitiri! Wakati nchi inapata uhuru tulikuwa around 10m; 60 years later tupo 60+ ukiacha maelfu kwa maelfu ya mimba zinazotupwa na vichanga vinavyokufa kila mwaka!
 
Back
Top Bottom