Matangazo ya Ajira kupitia WhatsApp kuna aliyefanikiwa nayo?

Emoji06

Member
Jan 23, 2019
57
56
Hivi niwaulize hayo matangazo ya ajira yanayopita kwenye group za watsapp,au accounts kama LINKEDLN, brighter monday kuna waliofanikiwa? au mimi ndo sina bahati?
 
Tulianzisha group la telegram mkuu.
Nitaweka link hapa ya kujiunga.
 
Tulianzisha group la telegram mkuu.
Nitaweka link hapa ya kujiunga.
Shukran nimejoin ila group lifanyiwe setting ili kama akija mgeni aone sms za nyuma zinaweza saidia kama kuna kazi ilitumwa deadline bado,mtu akiingia sa hivi haoni kitu kabisa wakat telegram inauwezo wa kuonyesha sms zote za nyuma
 
Good idea mkuu ngoja wataalamu walifanyie kazi
Shukran nimejoin ila group lifanyiwe setting ili kama akija mgeni aone sms za nyuma zinaweza saidia kama kuna kazi ilitumwa deadline bado,mtu akiingia sa hivi haoni kitu kabisa wakat telegram inauwezo wa kuonyesha sms zote za nyuma
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom