Matangazo biashara au ni Biashara Matangazo?

Onehour

Member
Sep 18, 2011
17
2
Ni kutaka kujua tuu juu ya hilli.
Kwani wapo waliopoteza hela zao kwa kutangaza biashara zao, na wapo waliofaidika pia.
Je? Njia rahisi ya kufanya hili na likatambulika kwa haraka ni ipi?
 
kasome somo la ujasiriamali ndio utajua maana halisi ya matangazo..


Maana halisi naipata ila cha kufanya ni nn kama wafanya biashara kwa matangazo bila mafanikio? Au ww watangaza biashara yako wapi na kukupa faida ya juu?
 
Kijana unatakiwa utangaze bıashara yako,kwenye chombo ambacho kınajulıkana na kınafıkıwa na watu wengı.
Na pıa uangalıe hcho chombo unachotumıa kutangazıa kınapenda kusikılızwa na kına nanı?tengeneza na vipeperushı vya bıdhaa yako
 
Back
Top Bottom