Uchaguzi 2020 Matamshi ya Tundu Lissu kuhusu mgombea Urais yaleta mtafaruku mkubwa UKAWA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,910
51,904
Washirika wa UKAWA wameijia juu Chadema kutaka itoe tamko kuhusiana na matamshi ya Tundu Lisu Ulaya na Marekani kuwa atagombea uraisi endapo atapitishwa na chama chake cha Chadema.Washirika hao wanahoji Je UKAWA ambao ndio uliokuwa Ukipitisha jina la nani agombee uraisi hr Chadema imejitoa na kuufuta UKAWA?

Wanadai kuwa Lisu ni kiongozi wa juu wa Chadema na Mwanasheria anayejua juu ya makubaliano ya UKAWA kuhusu namna mgombea uraisi anavyopatikana ndani ya UKAWA kuwa huteuliwa na kupitisha na UKAWA na baadaye huungwa mkono na washirika wote wa UKAWA.Lisu kwenye matamshi yake anaonyesha wazi kuwa kazi hiyo sasa ni ya chadema pekee ndio itaifanya sio UKAWA.Wanataka chadema itoe tamko kuhusiana na hilo tamko la Tundu Lisu Mwanasheria mkuu wa Chadema na anayejinasibu kuwa mbobesi sana kwenye Sheria

Je chadema na Lisu bado wanaitambua au hawaitambui tena UKAWA na wala hawaihitaji? Majukumu ya kumteua mgombea uraisi yaliyokuwa yanafanywa pamoja na vyama vyote vya UKAWA majukumu.hayo hayapo tena chadema itajifanyia kivyake? Wanahoji.Kama UKAWA haupo tena na hahitajiki tena ni kikao kipi kilipitisha kuwa sasa Kila chama mshirika wa UKAWA ruksa kijiteulia mgombea wake wa Uraisi?.

Washirika wa UKAWA wanaitaka Chadema itoe kauli kuhusu matamko hayo ya Lisu kuwa wanakubaliana nayo au la na kama ndio msimamo wa chama kuwa chadema ndicho kitakachoamua nani mgombea Uraisi na Sio UKAWA.
 
Hebu lete ushahidi wa tamko hilo kinyume na hapo wewe ni mpayukaji tu. Lissu alisema kama nitaaminika na kupitishwa kugombea nafasi ya Urais, I'm ready! Sasa huu utumbo wako sijui umeupata wapi.

Hata hivyo kwa akili ya haraka haraka ndani ya ukawa ni nani wa kumpiku Lissu? Use your brain acheni kujifariji kwa nyuzi zenu ambazo hazina mashiko. Jibuni hoja za Lissu na Kabudi
 
Hebu lete ushahidi wa tamko hilo kinyume na hapo wewe ni mpayukaji tu. Lissu alisema kama nitaaminika na kupitishwa kugombea nafasi ya Urais, I'm ready! Sasa huu utumbo wako sijui umeupata wapi.

Hata hivyo kwa akili ya haraka haraka ndani ya ukawa ni nani wa kumpiku Lissu? Use your brain acheni kujifariji kwa nyuzi zenu ambazo hazina mashiko. Jibuni hoja za Lissu na Kabudi
Alisema akiteuliwa na chama chake wewe
 
Washirika wa UKAWA wameijia juu Chadema kutaka itoe tamko kuhusiana na matamshi ya Tundu Lisu Ulaya na Marekani kuwa atagombea uraisi endapo atapitishwa na chama chake cha Chadema.Washirika hao wanahoji Je UKAWA ambao ndio uliokuwa Ukipitisha jina la nani agombee uraisi hr Chadema imejitoa na kuufuta UKAWA? Wanadai kuwa Lisu ni kiongozi wa juu wa Chadema na Mwanasheria anayejua juu ya makubaliano ya UKAWA kuhusu namna mgombea uraisi anavyopatikana ndani ya UKAWA kuwa huteuliwa na kupitisha na UKAWA na baadaye huungwa mkono na washirika wote wa UKAWA.Lisu kwenye matamshi yake anaonyesha wazi kuwa kazi hiyo sasa ni ya chadema pekee ndio itaifanya sio UKAWA.Wanataka chadema itoe tamko kuhusiana na hilo tamko la Tundu Lisu Mwanasheria mkuu wa Chadema na anayejinasibu kuwa mbobesi sana kwenye Sheria je chadema na Lisu bado wanaitambua au hawaitambui tena UKAWA na wala hawaihitaji? Majukumu ya kumteua mgombea uraisi yaliyokuwa yanafanywa pamoja na vyama vyote vya UKAWA majukumu.hayo hayapo tena chadema itajifanyia kivyake? Wanahoji.Kama UKAWA haupo tena na hahitajiki tena ni kikao kipi kilipitisha kuwa sasa Kila chama mshirika wa UKAWA ruksa kijiteulia mgombea wake wa Uraisi?.Washirika wa UKAWA wanaitaka Chadema itoe kauli kuhusu matamko hayo ya Lisu kuwa wanakubaliana nayo au la na kama ndio msimamo wa chama kuwa chadema ndicho kitakachoamua nani mgombea Uraisi na Sio UKAWA.
Wewe nguruwe hakuna chama cha UKAWA. Lissu atagombea kupitia CHADEMA

UKAWA wanashirikiana tu hata Lowasa aligombea urais kupitia CHADEMA
 
Hebu lete ushahidi wa tamko hilo kinyume na hapo wewe ni mpayukaji tu. Lissu alisema kama nitaaminika na kupitishwa kugombea nafasi ya Urais, I'm ready! Sasa huu utumbo wako sijui umeupata wapi
uongo alisema chama kikimteua Rudia kusikiliza mahojiano ya BBC hard talk huo ushahidi wa kwanza.
 
Wewe nguruwe hakuna chama cha UKAWA. Lissu atagombea kupitis CHADEMA

UKAWA wanashirikiana tu hata Lowasa aligombea urais kupitia CHADEMA
Lowassa na Mgombea mwenza Juma Duni Haji hawakuteuliwa na Chadema kuwa wagombea waliteuliwa na UKAW kwa pamoja na wote wakakubaliana kuwa vyama vyao vyote wawapigie kura hao
 
Lowassa na Mgombea mwenza Juma Duni Haji hawakuteuliwa na Chadema kuwa wagombea waliteuliwa na UKAW A kwa pamoja na wote wanakubaliana kuwa vyama vyao vyote wawapigie kura hao
Kwenye form ya kuwapigia kura kulikuwa kuna chama cha UKAWA?

Nadhani umeshaelewa kwahiyo Lissu akigombea urais atagombea kupitia CHADEMA
iyo ya kupitishwa na nani haiwahusu hatujawahi kuwaingilia huko CCM
 
Kwenye form ya kuwapigia kura kulikuwa kuna chama cha UKAWA?

Nadhani umeshaelewa kwahiyo Lissu akigombea urais atagombea kupitia CHADEMA
iyo ya kupitishwa na nani haiwahusu hatujawahi kuwaingilia huko CCM
Kwa hiyo yeye keshajihakikishia kuwa mgombea uraisi wa UKAWA ni lazima siku zote awe anatoka chadema tu sio vyama vingine vinavyounda UKAWA?
 
Research haijawahi kumwacha mtu salama. Twaweza walisema, CCM inapendwa na wazee na vijana wenye upeo mdogo wa kufikiri. Mtoa mada unaangukia kwenye moja ya makundi hayo mawili
 
Kwa hiyo yeye keshajihakikishia kuwa mgombea uraisi wa UKAWA ni lazima siku zote awe anatoka chadema tu sio vyama vingine vinavyounda UKAWA?
Inaonakena unalipwa kwa hiyo kazi unayofanya, chama gani kimelalamika?
Hapa naona unalalamika wewe tu.
Halafu kwani Lissu amepitishwa.
 
Inaonakena unalipwa kwa hiyo kazi unayofanya, chama gani kimelalamika?
Hapa naona unalalamika wewe tu.
Halafu kwani Lissu amepitishwa wewe.
Alisema ajipitishwa na chama chake wakati kama mwanasheria alitakiwa asema kama Umoja wetu wa UKAWA utaishia kuonyesha kuwa anaheshimu makubaliano ya UKAWA na ana adabu kwa UKAWA na kuonyesha jumuiya ya kimataifa kuwa Upinzani uko united na hatta mgombea huteuliwa kwa pamoja sio issue ya chama kimoja hilo lingeweza kuutangaza vizuri Upinzani wa Tanzania na kujifanya uuzike vizuri kwa wazungu.Lakini Kila akiulizwa kugombea uraisi anataka huteuliwa na chama chake tu hataji neno mdomoni linaloitwa UKAWA wakati ugombea Uraisi ni jambo la muungano wa UKAWA si jambo la chama kimoja .
 
sijawahi kuona mlokole mnafiki kama wewe...huendi MBINGUNI

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnafiki wewe usiyejua tofauti ya chadema na UKAWA kwenye kugombea uraisi.Ugombea uraisi ni jambo la Umoja wa UKAWA.Mbinguni hayaendi majina ya dini yawe ya ulokole ,ukatoliki au uislamu huenda watu na matendo yao.Si wakokole wote wataenda mbinguni au waislamu wote au wa katoliki wote
 
Back
Top Bottom