YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,909
- 51,904
Washirika wa UKAWA wameijia juu Chadema kutaka itoe tamko kuhusiana na matamshi ya Tundu Lisu Ulaya na Marekani kuwa atagombea uraisi endapo atapitishwa na chama chake cha Chadema.Washirika hao wanahoji Je UKAWA ambao ndio uliokuwa Ukipitisha jina la nani agombee uraisi hr Chadema imejitoa na kuufuta UKAWA?
Wanadai kuwa Lisu ni kiongozi wa juu wa Chadema na Mwanasheria anayejua juu ya makubaliano ya UKAWA kuhusu namna mgombea uraisi anavyopatikana ndani ya UKAWA kuwa huteuliwa na kupitisha na UKAWA na baadaye huungwa mkono na washirika wote wa UKAWA.Lisu kwenye matamshi yake anaonyesha wazi kuwa kazi hiyo sasa ni ya chadema pekee ndio itaifanya sio UKAWA.Wanataka chadema itoe tamko kuhusiana na hilo tamko la Tundu Lisu Mwanasheria mkuu wa Chadema na anayejinasibu kuwa mbobesi sana kwenye Sheria
Je chadema na Lisu bado wanaitambua au hawaitambui tena UKAWA na wala hawaihitaji? Majukumu ya kumteua mgombea uraisi yaliyokuwa yanafanywa pamoja na vyama vyote vya UKAWA majukumu.hayo hayapo tena chadema itajifanyia kivyake? Wanahoji.Kama UKAWA haupo tena na hahitajiki tena ni kikao kipi kilipitisha kuwa sasa Kila chama mshirika wa UKAWA ruksa kijiteulia mgombea wake wa Uraisi?.
Washirika wa UKAWA wanaitaka Chadema itoe kauli kuhusu matamko hayo ya Lisu kuwa wanakubaliana nayo au la na kama ndio msimamo wa chama kuwa chadema ndicho kitakachoamua nani mgombea Uraisi na Sio UKAWA.