Matamko yasio tekelezeka hata kwa fimbo!!

tikatika

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,330
4,114
Kila kukicha matamko hutoka kwa viongoz wetu yenye tija na yasio na tija.
Kwa sasa tupitie matamko yasio tekelezeka.

Hebu viongoz wetu pitieni hapa haya matamko yanatekelezeka?? Isiwe mnatoa maagizo ambayo hata nafsi zenu zinajua hayatekelezeki??

Mwendesha bodaboda Usipovaa cofia ngumu (helment) ukikamatwa unapewa kesi ya kujaribu kujiua . Sheria hiyo ipo ? Mahakama itatumia kifungu gan??

Ukishirikiana na shoga na ww shoga !!
Ukimfollow twiter ,Isnta , facebook huenda ungemalizia na whatsap kuchat naye unapewa kes ya ushoga !! Kwa sheria ipi ? Matamko yako yamekua sheria? Nitamjuaje shoga? Wenye watoto au ndugu zao wawapeleke wap? Nao mnawafunga?? Zingatia sikubaliani na ushoga hata sekunde moja. Naongelea sheria ya kutuhukumu kwayo ipo?? Au matamko ya viongoz hugeuka sheria?? By Makonda.

Ukifanya makosa haya na haya nakuhamisha kwenye mkoa wangu utoke. Sio kumpeleka jela bali nje ya mkoa!!
Kuna mkoa hupokea wenye makosa ??
Sheria ya nchi husemaji uhuru wa kuishi popote??

Siasa hadi 2020 kwa sheria ipi??
Msajili wa vyama anaondolewa??
Serikali iliopo ni ya kisiasa au kivita?
Jpm.

Mwananchi haruhusiwi kukosoa serikali ni kaz ya bunge tena akiwa bungeni!! Sehem nyingine ni kosa!! Uhuru wa kujieleza unaeleza mema tu??? Pm.

Mwanajamvi nakupa nafasi nawe weka kauli zenye kukinzana na katiba na sheria za nchi hata utamadun wetu. Maana nchi ni yetu sote.
 
Brother it's fact dat you talk itafikia sehemu katiba itawekwa kabatini sasa ni lazima tujue kuna katiba na vifungu vya sheria vyenye kutoa hukumu kwa kosa stahiki either nawaagiza hao waliotamka huo uchwaraa waache Mara moja
 
Viongozi wa awamu hii wanapenda sana kutoa matamko tena mbele ya vyombo vya habari
 
Nadhan huyo Makonda analewa sifa sasa, na sidhan kama huwa anakaa na wenzake kujadiliana nao namna ya kutekeleza hayo matamko yake ..?!

Yapo matamko mazuri lakin haya mengine yamevuka mipaka, kazi kwenu wakazi wa Dar, sisi wa huku mikoani tumetulia tu ..!!
 
Brother it's fact dat you talk itafikia sehemu katiba itawekwa kabatini sasa ni lazima tujue kuna katiba na vifungu vya sheria vyenye kutoa hukumu kwa kosa stahiki either nawaagiza hao waliotamka huo uchwaraa waache Mara moja
Nchi ni ya kikatiba, inayo endeshwa kwa sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa.

Na Huyo aliyeitwa uchwara aende mahakamani kutoa ushahidi wake.
 
Nkuru alisema watu waishi kishetani, RC anakataza watu kuishi kishetani nn maana yake.?!.
 
Nachukua nafasi hii kuwaomba wachambuzi Na wasomi wetu waliobobea ktk masuala ya siasa za Tanzania watuchambulie japo kidogo matamshi ya viongozi wetu wakuzuia mikutano ya vyama vya upinzani je kuna Tina Kwa demokrasia ya Tanzania?Je mikutano hiyo INA uhusiano gani Na kuiletea au kutoiletea maendeleo Tanzania?
 
Back
Top Bottom