Matamko ya usiku kama tuko vitani hayana afya kwenye siasa

Status
Not open for further replies.
Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.

Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.

Msituchoshe jamani.

Maendeleo hayana vyama!
Le mutuz yupo kwa waganga wa kienyeji anakula vichwa akizuga kuwasaidia wasifukuzwe kawachukulia milion milion kila kichwa
 
Screenshot_20201127-183132.png
 
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜†πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜†πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜†πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ€£kamalikia ka Bahari
 
Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.

Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.

Msituchoshe jamani.

Maendeleo hayana vyama!
Ili magazeti ya kesho yasiandike. Yuko shujaa mmoja anaitwa Sisera kwenye biblia mwanamke alimzidi maarifa

Mbowe nae kazidiwa maarifa na Mdee
 
Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.

Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.

Msituchoshe jamani.

Maendeleo hayana vyama!
Moja ya udhaifu mkubwa sana wa uongozi wa JF , mpaka mada za empty head tabulalasa zinaenda hewani ? Mada zako zote ni pumba tupu . Kama jf wangekuwa wanafanya analysis basi mada yako hata moja isingepanda hewani ni pumba tupu .
 
Wanapenda uvutwe muda ili waendelee kuwa na relevance na vi nyuzi uchwara hivi.

"Mwamba" kata mzizi wa fitina upeleke kilio mboga mboga!
Hahahaaaa....... Mwamba kabanwa kila kona barua imesainiwa na Mnyika ikapelekwa kwa Mahera na NKM Mwalimu!
 
Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.

Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.

Msituchoshe jamani.

Maendeleo hayana vyama!
Hahaa ulivyotegemea imekuwa ndivyo sivyo.
 
Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.

Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.

Msituchoshe jamani.

Maendeleo hayana vyama!
Chadema wanahitaji somo la kujitambua kwanza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom