Matamko ya Pope Benedict XVI kuhusu matumizi ya condom......haya hapa..mmh tricky...

LAT

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
4,401
1,312
" The Pope quickly added, in the interview, that condom use cannot be regarded as "a real or moral solution."

Pope did not attach great significance to his choice of a male rather than female prostitute to illustrate his point. The basic point, he said, is "the first step of taking responsibility, of taking into consideration the risk


In his discussion of AIDS prevention in Light of the World, the Pope said that if a male prostitute is carrying the AIDS virus, his use of a condom could be seen as "a first step in the direction of a moralization, a first assumption of responsibility."to the life of another."



Wachambuzi wa habari wanasema kwa kifupi Baba Mtakatifu Benedict wa 16 anamaana kuwa anaunga mkono matumizi ya kondom kama imeshindikana kabisa


je ni mazingira gani itahalalishwa kuwa imeshindikana kabisa .... pia comment on his statements......
 
Itahalalishwa katika Mazingira ya: 1. Kwa ushauri wa Daktari kama kinga. mfano mwenza katka ndoa ana tatizo ambalo linahitaji kutengana kwa muda bali kwa kutumia mpira inawezekana. 2. Kwa kinga ya uzazi wa mpango kama njia zingine (hasa za asili) zimeshindwa.
 
mkuu...nimekupata na pia inapotokea unayemwamini umehitilafiana naye..... je..... Abstain haiwezekani? kama ABC inavyotutaka
 
Back
Top Bottom