Matamko ya CHADEMA kuhusu ESCROW yaelekea mtindo ule wa CCM, yeyote anatoa tamko

BadoMbali

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
323
152
Nimekuwa nasikia matamko mbali mbali kutoka Chadema, mfano nimemsikia Mnyika akitaja na majina na hivi sasa Ntagazwa akitaja na majina.

Swali, nani msemaji wa Chadema? au yeyote aliye na uongozi anaweza kutoa matamko kwa niaba ya chama?

Watu waliotajwa je kutaja hayo majina ni msimamo wa chama au mtizamo wa wahusika waliotoa matamko?

Je ambao hawakutajwa na wameshiriki kwa nyia moja au nyingine Chadema imeona hawana hatia?

haya ni maswali machache kati ya mengi ninayojiuliza, labda wadau mnifafanulie.
 
Chadema ni matapeli wa siasa.
 
Back
Top Bottom