Nyerere aliukuta utamaduni wa Mtanzania tayari ukiwa hauna ubaguzi! Ni sehemu gani ya Tanzania kulipokuwa na vita na ubaguzi wa Kidini au Kikabila ambapo Nyerere alimuondolea Mtanzania? !Sishangai uchumi uliyumba lakini kazi ya kuondoa udini na ukabila ilifanikiwa. Acheni udini na ukabila.
Matatizo ya kukaririshwa vitu bila ya kufikiria hayo!