Matalii akijisaidia mbugani huku Simba akimnyemelea

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
image001.jpg
 
Yaelekea hata huyo Simba anashindwa kuelewa huyo ni mnyama wa aina gani swala si swala, pofu si pofu nadhani ndicho kinamchelewesha kumvamia otherwise hata hii picha isingepigwa!!! Nice one!!
 
Harufu ya mimavi ndio vinamchanganya zaidi huyo Simba maana hapo pizza na mapilipili kibomu kitupu
 
Kwa wanojua tabia za wanyama watakubaliana nami kuwa simba ni mnyama mdadisi sana pengine kushinda wanyama wote.Na katika hali kama hiyo ukiondoa walivyosema baadhi kuwa hili ni tangazo,inaonesha kuwa simba huyo hana lengo na mtu huyo ila anajiuliza huyu ni kiumbe gani na anafanya nini?Na kama mtu huyo atakaa hivyohivyo basi simba huyo atamtazama tu bila kumfanya chochote ila akiinuka tu kukimbia basi hilo litakuwa ni kosa kubwa sana maana ndio atakuwa amegeuka toka kiumbe kisichofahamika na kuwa kitoweo.
 
Kwa wanojua tabia za wanyama watakubaliana nami kuwa simba ni mnyama mdadisi sana pengine kushinda wanyama wote.Na katika hali kama hiyo ukiondoa walivyosemaa baadhi kuwa hili ni tangazo,inaonesha kuwa simba huyo hana lengo na mtu huyo ila anajiuliza huyu ni kiumbe gani na anafanya nini?Na kama mtu huyo atakaa hivyihivyo basi simba huyo atamtazama tu bila kumfanya chochote ila akiinuka tu kukimbia basi hilo ni kosa maana ndio atakuwa amegeuka toka kiumbe kisichofahamika na kuwa kitoweo.
naam there you are!
 
Kwa wanojua tabia za wanyama watakubaliana nami kuwa simba ni mnyama mdadisi sana pengine kushinda wanyama wote.Na katika hali kama hiyo ukiondoa walivyosema baadhi kuwa hili ni tangazo,inaonesha kuwa simba huyo hana lengo na mtu huyo ila anajiuliza huyu ni kiumbe gani na anafanya nini?Na kama mtu huyo atakaa hivyohivyo basi simba huyo atamtazama tu bila kumfanya chochote ila akiinuka tu kukimbia basi hilo litakuwa ni kosa kubwa sana maana ndio atakuwa amegeuka toka kiumbe kisichofahamika na kuwa kitoweo.

ni kweli nyau,kwanza simba huwa hana papara.
 
fotoshopu bana, yaani kwao simba kuna ukameeeee afu kwa uyu mama kijaniiiii, wizi!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom