Matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania juu ya modality ya kiapo cha Wabunge

Mkuu Pulchra Animo , asante kwa hoja zako, na kubwa zaidi ni jinsi ulivyomaliza hoja hii kwa maneno haya "Kazi ya kutafisiri sheria ni ngumu. Ukiishia kwenye literal meaning ya neno linalosomeka kwenye sheria husika, mara nyingi, utachemsha!". Naomba kuchangia ifuatavyo in points format
  1. Kitu cha kwanza kinachozingatiwa kwenye kuitafsiri sheria, ni kuangalia mtunga katiba alidhamiria nini kwa kifungu husika?.
  2. Mfumo wetu wa utawala una mihimili 3 inayojitegemea, Serikali, Bunge na Mahakama, hivyo wakuu wa mihimili hiyo, Rais, Spika na Jaji Mkuu ndio waapishaji wakuu, waapishaji wengine wote ni kwa niaba yao!.
  3. Kuna viapo ambavyo anatajwa muapishaji bila katiba kuweka mahali, mfano viapo vyote vya Rais, au Jaji Mkuu, katiba haukusema rais ataaoishia Ikulu au Jaji Mkuu ataapishia mahakamani, hii maana yake rais anaweza kuapishiwa popote na kuapishia popote, sambamba na CJ anaweza kuapishia popote.
  4. Lakini kwa kiapo cha Mbunge, Mtunga Katiba amesema wazi, Mbunge ataapa mbele ya Spika, Bungeni!.
  5. Neno Bungeni halimaaninishi jengo la Bunge, bali limemaanisha Mamlaka ya Bunge!.
  6. Jengo la Bunge na Mamlaka ya Bunge ni vitu viwili tofauti, kama ilivyo kwa neno Mahakama na Chumba cha Mahakama.
  7. Jengo la Bunge ni eneo lolote ambalo Bunge linaweza kuendeshewa, na sio lazima ule ukumbi wa Bunge, linaweza kuendeshewa popote. Lakini ili liwe ni Bunge, lazima liwe na Mamlaka ya Kibunge, session.
  8. Vivyo hivyo kwa Mahakama na chumba cha mahakama, Mahakama ni ile session, eneo lolote linaweza kuwa chumba cha mahakama lakini ili iwe ni mahakama lazima iwe na mamlaka, court session.
  9. Hivyo mtunga katiba aliposema Mbunge ataapishwa mbele ya Spika Bungeni akimaanisha Mbunge ataapa kwenye kikao cha Bunge, Session yenye mamlaka ya kibunge na sio eneo la Bunge.
  10. Watunga Kanuni wakadhani Mtunga katiba alimaanisha eneo la Bunge, hivyo wakakasimu madaraka kwa Spika, kuapishia eneo lolote!. Kwa lugha nyingine, kanuni imempa Spika mamlaka ya yeye Spika kujingeuza ni mamlaka ya kibunge na kuapishia wabunge eneo lolote.
Kwa maoni yangu, this is wrong!. Lengo la mtunga katiba kutaka wabunge waape kwenye kikao cha Bunge, yaani, parliament in session, yenye mamlaka ya kibunge kwasababu wabunge ni watunga sheria, viapo vyao lazima viwe na mamlaka, ili kuwapa mamlaka ya kutunga sheria.

NB. Pamoja na kanuni hiyo kwenda kinyume cha katiba, lakini kitendo alichokifanya Spika kuwaapisha wabunge nje ya kikao, ni kitendo halali kwa mujibu wa kanuni. Kama Bunge limetunga kanuni batili kwa kwenda kinyume cha katiba, kanuni hiyo itakuwa ni halali mpaka pale itakapo batilishwa, hivyo Spika Mhe. Job Ndugai is right kufanya anachokifanya kwasababu ndivyo kanuni inavyosema!.

Hata ikitokea, mtuhumiwa akahukumiwa kunyongwa kwa makosa, na mnyongaji akamnyonga kwa kutekeleza hakumu ya mahakama. Baada ya kunyongwa ikathibitika alihukumiwa kwa makosa, mwenye kosa ni aliyehukumu, huyo mnyongwaji atakuwa amenyongwa kwa makosa, lakini mnyongaji did the right thing, kazi yake ni kunyonga, akiletewa mtu wa kunyongwa, kazi yake ni kunyonga tuu na sio kujua amekosa nini.

Kwa muktadha huo, Spika Mhe. Job Ndugai ametimiza wajibu wake kwa mujibu wa kanuni halali ya Bunge, kama kuna makosa, yamefanywa na mtunga kanuni.

P.
Mkuu Mayalla ... kwa ufafanuzi wako na kwa sababu wewe ni msomi wa sheria naweza kukubaliana na wewe ila nina swali juu ya maelezo yako ili nijiweke salama katika kukubaliana na wewe

Kabisa bila ya shaka nakubaliana kuwa jengo la Bunge na eneo la Bunge ni vitu viwili tofauti kwani jengo litabaki kuwa jengo tu lililojengwa kama majengo mengine

Hivyo Bunge inaweza kuwa eneo lolote lile lililo chaguliwa kuwa hapo ni Bungeni whether ni uwanja tu au kuwe kumefungwa maturubai au pana kibanda tu cha makuti au hata pawe na jengo la ghorofa 70

Sasa swali ili eneo hilo lililo chaguliwa liwe ni eneo la Bungeni kwa mujibu wa katiba kunapaswa kuwe na vigezo gani kukamilisha maana hiyo ya Bunge katika eneo lolote lililocahaguliwa ... ?

1. Je, kuna sehemu yeyote katika katiba au kanuni inayoelezea ili eneo lolote liwe Bungeni panapaswa kukamilisha vigezo gani ili eneo hilo liwe eneo la Bunge ... ?

2. Je, ile SIWA ina tafsiri yeyeote inayoendana au kushikamana na eneo ambalo linatumiwa kama Bunge ...?

3. Je, kuwepo kwa SIWA katika Bunge kuna kunahusiana au kuna ulazima ili kukamilisha tafsiri ya Bunge katika eneo lolote lile ...?
 
Maoni yake yana maana kubwa, maana mtu anaweza kufoji tu barua na akatafuta utetezi wa forgery yake.

Wewe sasa unaingiza variable ambayo haitatusaidia kwenye huu mjadala. Kwani wabunge wana document authentication expertise?
 
What will happen, speaker akaamka asubuhi akaamua kumuapisha mke wake kuwa mbunge na as long as ameapishwa na speaker (sehemu ambayo speaker ameona inafaa) je huoni inaweza kujenga mkanganyiko na ndio maana wakitaka ifanyike ndani ya ukumbi wa Bunge na mbele ya wabunge wengine Kama mashahidi?

Kama issue ni kuapa mbele ya Wabunge, je, mbunge mteule wa Kwanza kuapa si atakuwa ameapa bila uwepo wa Wabunge?

Nanimaanisha, mfano, Wabunge wateule wapo 300. Na kumbuka hawa wote bado siyo Wabunge hadi hapo watakapokula kiapo.

Sasa yule wa Kwanza anayeapa kuwa mbunge maana yake ni kwamba hajaapa mbele ya wabunge bali ameapa mbele ya wabunge wateule wanaosubiri kula kiapo ili wawe Wabunge kamili kisheria.

Mimi ninadhani mamlaka muhimu hapo ili kukamilisha kiapo, ni uwepo wa Spika na mla kiapo. Ndiyo maana kabla ya kiapo, Wabunge wateule ambao kimsingi ni wananchi, wanamchagua Spika, ambapo Spika hugeaka na kuwa mamlaka ya kuapisha.
 
M
Masharti ya kiapo cha wabunge yamo katika Ibara ya 68 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ibara hii inataka, among other things, kila mbunge kuapishwa katika Bunge (English version: before the National Assembly).

Kwa maoni yangu, phrase “...kuapishwa katika Bunge...” ilikusudia kulipa Bunge uwezo wa kuendesha viapo vya wajumbe wake (wabunge) lenyewe, kwa sababu kuna namna nyingi za mtu kuapishwa. Mtu anaweza kuapishwa na judge, Rais au mamlaka nyingine yoyote. Kwa hiyo, ilikuwa muhimu kulibainisha hili.

Sasa tuangazie, kwa ujumla, eneo la parties to an oath. Kiapo chochote kina washiriki wa lazima wawili, ambao ni oath administrator na oath taker. Oath taker anaapa na kusaini oath document. Oath administrator anathibitisha hicho kiapo kwa yeye pia kusaini hiyo oath document.

Kitendawili kinachohitaji kuteguliwa ni hiki: Did the drafters of the Constitution really intend to make the entire National Assembly to be the oath administrator? If the answer is yes, maana yake oath taker (mbunge) ataapa na kusaini oath document na wabunge waliobaki (masharti ya quorum ya vikao vya Bunge yakiwa yametimizwa) watathibitisha hicho kiapo kwa kusaini pia hiyo oath document.

Kwa maoni yangu, I don’t think that the drafters of the Constitution really intended to make the entire National Assembly to be the oath administrator. Sio kwamba haiwezekani kufanya hivyo. Swala ni kwamba, what purpose does it serve, ukizingatia kiapo cha mbunge sio legislative action wala azimio la Bunge? Hapo lazima kuwe na practical expedient. Hapa ndipo Kanuni za Kudumu za Bunge zinapohitajika kusaidia utekelezaji wa masharti ya kiapo cha wabunge yaliyomo katika Katiba. Hiyo practical expedient ni kwamba mbunge (oath taker) anaapa mbele ya Spika (ambaye ndiye anakuwa oath administrator kwa niaba ya Bunge).

Conclusion yangu ni kwamba Kanuni za Kudumu za Bunge hazijakiuka masharti ya Katiba ya kiapo cha wabunge. It isn’t unconstitutional for the Speaker to administer the oath of members of parliament when the National Assembly isn’t in session!

Kazi ya kutafisiri sheria ni ngumu. Ukiishia kwenye literal meaning ya neno linalosomeka kwenye sheria husika, mara nyingi , utachemsha!
Mitano tena
 
Mkuu, Mayalla, nimekusoma! Katika item #14 unasema “...mbunge ataapa mbele ya Speaker, Bungeni!...” Hili sharti umelipata wapi?

Katiba inasema mbunge ataapa katika Bunge (English version: before the National Assembly). Sasa huoni kama ukitaka kuchukua literal meaning ya hili sharti maana yake oath administrator is the entire National Assembly na sio Speaker pekee yake?
na hivi ndivyo inavyotakiwa na Siwa likiwepo kwa mujibu wa Katiba yetu, Tambua pia katiba ndio seria mama na seria au kanuni yeyote itakayopingana na katiba sheria au kanuni iyo ni batili.
Ndugai amepotoka na amevunja Katiba ya Nchi kuwaapisha hao wabunge kinyume cha katiba inavyoelekeza

amaefanya kama magufuli kateua mawaziri bila kushauriana na waziri mkuu kama katiba inavyoelekeza
 
Interpretation of law goes far beyond understanding and explaining the literal meanings of various words and phrases used in any given piece of legislation. If that wasn’t the case, all linguists would become lawyers only by virtue of their language expertise!

The question of venue for the oath administration is trivial. Kauli inayong’ang’aniwa kwamba wabunge wameapishwa garage is just cheap politics. The choice of venue cannot invalidate an oath properly taken, before a proper oath administrator. Rais, kwa mfano, mara zote anaapishwa kwenye viwanja vya halaiki as a matter of practical convenience!

Jambo muhimu ni kwamba oath taker must properly take the oath, before a proper oath administrator. Kwa swala la kiapo cha mbunge, swali linalohitaji kujibiwa ni: je, administrator wa hicho kiapo ni Speaker (kwa niaba ya Bunge) au ni Bunge lote? Kwa maoni yangu ni Speaker. Sina sababu ya kurudia ufafanuzi niliokwisha kuutoa kwenye andiko lililokuja na maada yenyewe!
Mbona ume-panic?!

Nimekuwekea maana kwasababu andiko lako linaonesha wazi hujui hata maana ya Bunge, ndio maana nikakuwekea option uchague, ya ujinga au werevu, najua umechukua ya ujinga, na kama hujui maana utajua vipi kutafsiri?

Niliandika kwa kirefu nikijua fika umeleta hili andiko lako hapa ujaribu ku-justify uhuni anaofanya Ndugai bungeni, and I was correct.

Wacha upotoshaji, suala la kiapo Katiba inatamka wazi lazima waapishwe mbele ya Bunge, usilete ubishi wa kipuuzi kwenye hili; na usiingize kiapo cha Rais hapa kwasababu hausiki, hapa tunazungumzia kuapishwa wabunge sio Rais, na unavyolazamisha kuchanganya kiapo cha Rais na Wabunge unaonesha ulivyo mjinga.

Kwa kifupi nikwambie hili andiko lako lote ni batili (feki), hasa pale unapozipa Kanuni za Bunge nafasi ya juu zaidi ya Katiba, kwani Katiba inatamka wazi kanuni yoyote itakayotungwa kukiuka kifungu chochote cha Katiba hiyo sheria au Kanuni ni batili.

Na hiyo kanuni mliitengeneza makusudi kwasababu mlijua fika kuna michezo ya hovyo mtakayokuwa mnaifanya, mkatafuta kichaka cha kujilinda.

Nasubiri mapovu yako tena kwenye hili kama bado yatakuwepo.
 
Masharti ya kiapo cha wabunge yamo katika Ibara ya 68 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ibara hii inataka, among other things, kila mbunge kuapishwa katika Bunge (English version: before the National Assembly).

Kwa maoni yangu, phrase “kuapishwa katika Bunge...” ilikusudia kulipa Bunge uwezo wa kuendesha viapo vya wajumbe wake (wabunge) lenyewe, kwa sababu kuna namna nyingi za mtu kuapishwa. Mtu anaweza kuapishwa na judge, Rais au mamlaka nyingine yoyote. Kwa hiyo, ilikuwa muhimu kulibainisha hili.

Sasa tuangazie, kwa ujumla, eneo la parties to an oath. Kiapo chochote kina washiriki wa lazima wawili, ambao ni oath administrator na oath taker. Oath taker anaapa na kusaini oath document. Oath administrator anathibitisha hicho kiapo kwa yeye pia kusaini hiyo oath document.

Kitendawili kinachohitaji kuteguliwa ni hiki: Did the drafters of the Constitution really intend to make the entire National Assembly to be the oath administrator? If the answer is yes, maana yake oath taker (mbunge) ataapa na kusaini oath document na wabunge waliobaki (masharti ya quorum ya vikao vya Bunge yakiwa yametimizwa) watathibitisha hicho kiapo kwa kusaini pia hiyo oath document.

Kwa maoni yangu, I don’t think that the drafters of the Constitution really intended to make the entire National Assembly to be the oath administrator. Sio kwamba haiwezekani kufanya hivyo. Swala ni kwamba, what purpose does it serve, ukizingatia kiapo cha mbunge sio legislative action wala azimio la Bunge? Hapo lazima kuwe na practical expedient.

Hapa ndipo Kanuni za Kudumu za Bunge zinapohitajika kusaidia utekelezaji wa masharti ya kiapo cha wabunge yaliyomo katika Katiba. Hiyo practical expedient ni kwamba mbunge (oath taker) anaapa mbele ya Spika (ambaye ndiye anakuwa oath administrator kwa niaba ya Bunge).

Conclusion yangu ni kwamba Kanuni za Kudumu za Bunge hazijakiuka masharti ya Katiba ya kiapo cha wabunge. It isn’t unconstitutional for the Speaker to administer the oath of members of parliament when the National Assembly isn’t in session!

Kazi ya kutafisiri sheria ni ngumu. Ukiishia kwenye literal meaning ya neno linalosomeka kwenye sheria husika, mara nyingi, utachemsha!
National Assembly ni entity ambayo inajumuisha wabunge wote pamoja na Spika. Waandishi wangeona kuwa hamna haja ya wabunge ( maana wao ndio Bunge sio Spika) kuwepo wangesema Mbunge ataapishwa mbele ya Spika. Kusema kuwa watu wanataka Bunge lote liwe Oath Administrators ni kutaka kupotosha maana kwa maksudi. Kiapo chochote kina wahusika watatu ( sio wawili kama unavyodai) ambao ni anaetoa kiapo ( Spika), anaekula kiapo ( mbunge mtarajiwa) na mashahidi ( Bunge kwa maana wabunge). Kuwaondoa wabunge ni kukiuka Katiba.

Amandla...
 
Mkuu Pulchra Animo , asante kwa hoja zako, na kubwa zaidi ni jinsi ulivyomaliza hoja hii kwa maneno haya "Kazi ya kutafisiri sheria ni ngumu. Ukiishia kwenye literal meaning ya neno linalosomeka kwenye sheria husika, mara nyingi, utachemsha!". Naomba kuchangia ifuatavyo in points format
  1. Kitu cha kwanza kinachozingatiwa kwenye kuitafsiri sheria, ni kuangalia mtunga katiba alidhamiria nini kwa kifungu husika?.
  2. Mfumo wetu wa utawala una mihimili 3 inayojitegemea, Serikali, Bunge na Mahakama, hivyo wakuu wa mihimili hiyo, Rais, Spika na Jaji Mkuu ndio waapishaji wakuu, waapishaji wengine wote ni kwa niaba yao!.
  3. Kuna viapo ambavyo anatajwa muapishaji bila katiba kuweka mahali, mfano viapo vyote vya Rais, au Jaji Mkuu, katiba haukusema rais ataaoishia Ikulu au Jaji Mkuu ataapishia mahakamani, hii maana yake rais anaweza kuapishiwa popote na kuapishia popote, sambamba na CJ anaweza kuapishia popote.
  4. Lakini kwa kiapo cha Mbunge, Mtunga Katiba amesema wazi, Mbunge ataapa mbele ya Spika, Bungeni!.
  5. Neno Bungeni halimaaninishi jengo la Bunge, bali limemaanisha Mamlaka ya Bunge!.
  6. Jengo la Bunge na Mamlaka ya Bunge ni vitu viwili tofauti, kama ilivyo kwa neno Mahakama na Chumba cha Mahakama.
  7. Jengo la Bunge ni eneo lolote ambalo Bunge linaweza kuendeshewa, na sio lazima ule ukumbi wa Bunge, linaweza kuendeshewa popote. Lakini ili liwe ni Bunge, lazima liwe na Mamlaka ya Kibunge, session.
  8. Vivyo hivyo kwa Mahakama na chumba cha mahakama, Mahakama ni ile session, eneo lolote linaweza kuwa chumba cha mahakama lakini ili iwe ni mahakama lazima iwe na mamlaka, court session.
  9. Hivyo mtunga katiba aliposema Mbunge ataapishwa mbele ya Spika Bungeni akimaanisha Mbunge ataapa kwenye kikao cha Bunge, Session yenye mamlaka ya kibunge na sio eneo la Bunge.
  10. Watunga Kanuni wakadhani Mtunga katiba alimaanisha eneo la Bunge, hivyo wakakasimu madaraka kwa Spika, kuapishia eneo lolote!. Kwa lugha nyingine, kanuni imempa Spika mamlaka ya yeye Spika kujingeuza ni mamlaka ya kibunge na kuapishia wabunge eneo lolote.
Kwa maoni yangu, this is wrong!. Lengo la mtunga katiba kutaka wabunge waape kwenye kikao cha Bunge, yaani, parliament in session, yenye mamlaka ya kibunge kwasababu wabunge ni watunga sheria, viapo vyao lazima viwe na mamlaka, ili kuwapa mamlaka ya kutunga sheria.

NB. Pamoja na kanuni hiyo kwenda kinyume cha katiba, lakini kitendo alichokifanya Spika kuwaapisha wabunge nje ya kikao, ni kitendo halali kwa mujibu wa kanuni. Kama Bunge limetunga kanuni batili kwa kwenda kinyume cha katiba, kanuni hiyo itakuwa ni halali mpaka pale itakapo batilishwa, hivyo Spika Mhe. Job Ndugai is right kufanya anachokifanya kwasababu ndivyo kanuni inavyosema!.

Hata ikitokea, mtuhumiwa akahukumiwa kunyongwa kwa makosa, na mnyongaji akamnyonga kwa kutekeleza hakumu ya mahakama. Baada ya kunyongwa ikathibitika alihukumiwa kwa makosa, mwenye kosa ni aliyehukumu, huyo mnyongwaji atakuwa amenyongwa kwa makosa, lakini mnyongaji did the right thing, kazi yake ni kunyonga, akiletewa mtu wa kunyongwa, kazi yake ni kunyonga tuu na sio kujua amekosa nini.

Kwa muktadha huo, Spika Mhe. Job Ndugai ametimiza wajibu wake kwa mujibu wa kanuni halali ya Bunge, kama kuna makosa, yamefanywa na mtunga kanuni.

P.
Kaka Paskali umesahau yale majibu uliyopewa kule kwa nyumba ileee kwamba kuna mhimili umejikita chini zaidi na maana ya Mayala ni njaa sasa panapoingia mayala hayo tegemea chochote i rest my case
 
ishu sio kuapa mbele ya wabunge, ni mbele ya Bunge na Siwa likiwepo

Tupe insight; usiishie kutuandikia lugha iliyotumika kwenye masharti ya Katiba. Ni afadhali utuambie tukasome tu Katiba.

Ukisoma sheria kwa style unayotumia kusoma kitabu cha hadithi, lazima utoke kapa!
 
Mataga anatafsiri lolote kujipa uhalali kwa wakati huo husika

Sasa assume speaker angekua ni Chadema kamuapisha CCM gereji halafu huyu huyu mataga angekuja hapa na tafsiri inayompa uhalali wakati huo hapo....

Mataga watatafsiri hadi mavi wajenge uhalali wa kufanya mavi yao wakati huo,tukio likibadilika wanabadili tafsiri kufata wakitakacho..

Kwanza ishu ya kuapa ni ishu wala sio muhimu sana hapa,anataka utueleze jamaa yako anavyovunja katiba kuendelea kuwapa ubunge wabunge waliokwisha fukuzwa na vyama vyao sababu tu hii kitu inawafaidisha mataga kwa wakati huu?

Hatuna nchi hapa

Hatuna sheria maana sheria goli lake linahamishwa upande atakao mfungaji,..Hatuna mahakama wala majaji,hatuna kitu ya kuamini hapa
Umenena ukweli mkuu. Nchi hii iko taabani kwa viongozi kutofuata sheria na pia kwenye kuvunja katiba. Halafu hapa kuna wale wasomi uchwara wa sheria wanakuja na madai kwamba alichofanya Ndugai ni sahihi. Pale ubinafsi na njaa vinaposababishana uleta upofu kwa mhusika.
 
National Assembly ni entity ambayo inajumuisha wabunge wote pamoja na Spika. Waandishi wangeona kuwa hamna haja ya wabunge ( maana wao ndio Bunge sio Spika) kuwepo wangesema Mbunge ataapishwa mbele ya Spika. Kusema kuwa watu wanataka Bunge lote liwe Oath Administrators ni kutaka kupotosha maana kwa maksudi. Kiapo chochote kina wahusika watatu ( sio wawili kama unavyodai) ambao ni anaetoa kiapo ( Spika), anaekula kiapo ( mbunge mtarajiwa) na mashahidi ( Bunge kwa maana wabunge). Kuwaondoa wabunge ni kukiuka Katiba.

Amandla...
Noted.
 
Mbona ume-panic?!

Nimekuwekea maana kwasababu andiko lako linaonesha wazi hujui hata maana ya Bunge, ndio maana nikakuwekea option uchague, ya ujinga au werevu, najua umechukua ya ujinga, na kama hujui maana utajua vipi kutafsiri?

Niliandika kwa kirefu nikijua fika umeleta hili andiko lako hapa ujaribu ku-justify uhuni anaofanya Ndugai bungeni, and I was correct.

Wacha upotoshaji, suala la kiapo Katiba inatamka wazi lazima waapishwe mbele ya Bunge, usilete ubishi wa kipuuzi kwenye hili; na usiingize kiapo cha Rais hapa kwasababu hausiki, hapa tunazungumzia kuapishwa wabunge sio Rais, na unavyolazamisha kuchanganya kiapo cha Rais na Wabunge unaonesha ulivyo mjinga.

Kwa kifupi nikwambie hili andiko lako lote ni batili (feki), hasa pale unapozipa Kanuni za Bunge nafasi ya juu zaidi ya Katiba, kwani Katiba inatamka wazi kanuni yoyote itakayotungwa kukiuka kifungu chochote cha Katiba hiyo sheria au Kanuni ni batili.

Na hiyo kanuni mliitengeneza makusudi kwasababu mlijua fika kuna michezo ya hovyo mtakayokuwa mnaifanya.

Nasubiri mapovu yako tena kwenye hili kama bado yatakuwepo.

Panic? Labda kama hili neno huelewi standard meaning yake!

Kazi ya kutafisri sheria ingekuwa inafanywa kwa kutaja tu maneno yaliyotumika kwenye sheria husika, basi watu wote wanaojua kusoma na kuandika wangekuwa wanasheria!
 
Kwani wanasheria na majaji wanafanya nini zaidi ya kutafsiri maneno yaliyotumika kwenye sheria.

Nadhani Marekani kuna wale majaji wanaojiita originalists na wale wanaopingana nao, wote hawa wanabishana katika tafsiri ya maneno yaliyotumika kwenye sheria husika na Katiba.

Amandla...
 
Masharti ya kiapo cha wabunge yamo katika Ibara ya 68 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ibara hii inataka, among other things, kila mbunge kuapishwa katika Bunge (English version: before the National Assembly).

Kwa maoni yangu, phrase “kuapishwa katika Bunge...” ilikusudia kulipa Bunge uwezo wa kuendesha viapo vya wajumbe wake (wabunge) lenyewe, kwa sababu kuna namna nyingi za mtu kuapishwa. Mtu anaweza kuapishwa na judge, Rais au mamlaka nyingine yoyote. Kwa hiyo, ilikuwa muhimu kulibainisha hili.

Sasa tuangazie, kwa ujumla, eneo la parties to an oath. Kiapo chochote kina washiriki wa lazima wawili, ambao ni oath administrator na oath taker. Oath taker anaapa na kusaini oath document. Oath administrator anathibitisha hicho kiapo kwa yeye pia kusaini hiyo oath document.

Kitendawili kinachohitaji kuteguliwa ni hiki: Did the drafters of the Constitution really intend to make the entire National Assembly to be the oath administrator? If the answer is yes, maana yake oath taker (mbunge) ataapa na kusaini oath document na wabunge waliobaki (masharti ya quorum ya vikao vya Bunge yakiwa yametimizwa) watathibitisha hicho kiapo kwa kusaini pia hiyo oath document.

Kwa maoni yangu, I don’t think that the drafters of the Constitution really intended to make the entire National Assembly to be the oath administrator. Sio kwamba haiwezekani kufanya hivyo. Swala ni kwamba, what purpose does it serve, ukizingatia kiapo cha mbunge sio legislative action wala azimio la Bunge? Hapo lazima kuwe na practical expedient.

Hapa ndipo Kanuni za Kudumu za Bunge zinapohitajika kusaidia utekelezaji wa masharti ya kiapo cha wabunge yaliyomo katika Katiba. Hiyo practical expedient ni kwamba mbunge (oath taker) anaapa mbele ya Spika (ambaye ndiye anakuwa oath administrator kwa niaba ya Bunge).

Conclusion yangu ni kwamba Kanuni za Kudumu za Bunge hazijakiuka masharti ya Katiba ya kiapo cha wabunge. It isn’t unconstitutional for the Speaker to administer the oath of members of parliament when the National Assembly isn’t in session!

Kazi ya kutafisiri sheria ni ngumu. Ukiishia kwenye literal meaning ya neno linalosomeka kwenye sheria husika, mara nyingi, utachemsha!
Mkuu kiujumla hii miaka mitano KWA mwendo huu, hata ikitokea jpm akaongeza miaka ishirin mbele(mfano) hawezi tawara KWA Raha, maana Raha ya kiongozi nikutawala KWA Raha, mfano kinyatta anatawala kwa Raha why alipima upepo then ukarudi Sasa kwao ni shwari Sana , itoshe sema
Watawala jipangeni , na wananchi jipangeni maana yajayo wenda sio ya dunia hii,
 
Masharti ya kiapo cha wabunge yamo katika Ibara ya 68 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ibara hii inataka, among other things, kila mbunge kuapishwa katika Bunge (English version: before the National Assembly).

Kwa maoni yangu, phrase “kuapishwa katika Bunge...” ilikusudia kulipa Bunge uwezo wa kuendesha viapo vya wajumbe wake (wabunge) lenyewe, kwa sababu kuna namna nyingi za mtu kuapishwa. Mtu anaweza kuapishwa na judge, Rais au mamlaka nyingine yoyote. Kwa hiyo, ilikuwa muhimu kulibainisha hili.

Sasa tuangazie, kwa ujumla, eneo la parties to an oath. Kiapo chochote kina washiriki wa lazima wawili, ambao ni oath administrator na oath taker. Oath taker anaapa na kusaini oath document. Oath administrator anathibitisha hicho kiapo kwa yeye pia kusaini hiyo oath document.

Kitendawili kinachohitaji kuteguliwa ni hiki: Did the drafters of the Constitution really intend to make the entire National Assembly to be the oath administrator? If the answer is yes, maana yake oath taker (mbunge) ataapa na kusaini oath document na wabunge waliobaki (masharti ya quorum ya vikao vya Bunge yakiwa yametimizwa) watathibitisha hicho kiapo kwa kusaini pia hiyo oath document.

Kwa maoni yangu, I don’t think that the drafters of the Constitution really intended to make the entire National Assembly to be the oath administrator. Sio kwamba haiwezekani kufanya hivyo. Swala ni kwamba, what purpose does it serve, ukizingatia kiapo cha mbunge sio legislative action wala azimio la Bunge? Hapo lazima kuwe na practical expedient.

Hapa ndipo Kanuni za Kudumu za Bunge zinapohitajika kusaidia utekelezaji wa masharti ya kiapo cha wabunge yaliyomo katika Katiba. Hiyo practical expedient ni kwamba mbunge (oath taker) anaapa mbele ya Spika (ambaye ndiye anakuwa oath administrator kwa niaba ya Bunge).

Conclusion yangu ni kwamba Kanuni za Kudumu za Bunge hazijakiuka masharti ya Katiba ya kiapo cha wabunge. It isn’t unconstitutional for the Speaker to administer the oath of members of parliament when the National Assembly isn’t in session!

Kazi ya kutafisiri sheria ni ngumu. Ukiishia kwenye literal meaning ya neno linalosomeka kwenye sheria husika, mara nyingi, utachemsha!
Hii fallacy ni kiboko.

Kwa mujibu wa katiba Bunge siyo Jengo au jengo na maeneo yanayozunguka jengo.

Bunge ni wabunge waliochaguliwa kwa mujibu wa katiba pamoja na speaker wake.

Kwahiyo kwa mujibu wa katiba lazima mbunge aape mbele ya bunge as it is legally constituted.

Nina mashaka pia kama Bunge litakuwa bunge kama akidi inayotakiwa kwa mujibu wa katiba haijatimia.

Hiki ulichoandika hapa ni totally fallacious
 
Back
Top Bottom