Matajiri wakubwa wanapotalakiana utajiri wao unakuwa mkubwa kuliko awali

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,907
6,700
Niwape siri kuhusu matajiri wakubwa!

Kwani matajiri wakubwa wanapo talakiana utajiri wao unakuwa mkubwa kuliko walivo kuwepo mwanzoni!

Mimi nitapenda kueleza kisa kimoja cha Jeff Bezos CEO wa Amazon.

Huyu jamaa baada ya ndoa kudumu miaka 25 utajiri wake ulikuwa upo wa kawaida kwenye list ya matajiri wa Forbes.

Lakini wenzetu wazungu swala la kugawana mali lina wekwa kipaumbele sana katika usawa, inategemea umechumaje naye.

Bwana Jeff Bezos baada ya kuona dalili ya mvua ni mawingu, alijifanya kama ni mmoja ya watu wenye share kwenye kampuni yake, kuwa yeye ni share tu kwa asilimia fulani.

Kumbe ilikuwa ni kunyume ili kumpiga changa la macho mtalaka wake .

Baada ya mke wake kuomba talaka na kupata mgao ndipo mahakama kulingana na vifungu vinataka kumpa asilimia ya mali kulingana alivo na share au umiliki wa mali.

Na kweli jeff bezos kulingana na share kwa mujibu wa sheria alitoa kilichopo na mke wake aliyetaka talaka akaona kamaliza kila kitu.

Baada ya mda kupita jeff bezos akavunja bodi na kurudisha zile share alizowapa kufanya kama zilikuwa si zake.

Na hii ilimpelekea kuwa tajiri zaidi na kutangazwa kwa mara ya kwanza kwenye gazeti la forbes na sasa anachezea nafasi ya pili sijajua kwa nini!

Somo zuri katika kuchunga mali zako na jamii yako.

FB_IMG_1623993990889.jpg
 
Babu unajua utajiri alionao mke wake jeff bezos? She couldn’t ask for more than that. Saivi ni watatu kwa utajiri duniani kwa wanawake
 
Back
Top Bottom