Matajiri na wanafamilia wengi wa kibongo hawaigi mfano huu wa malezi

Being a billionaire without Jesus is nothing. Money only brings a temporary happiness, but in order to have an eternal joy, there's no way other than surrendering your life to Jesus. That's the fact, like it or dread it.
Mimi nikiona walokole wanavyosali na kupiga pambio huwa nawaona kama watu waliochanganyikiwa vile. Hawana peace of mind and soul. Unaposema to surrender life to Jesus you do not mean peace of mind and soul , do you ? Ingekuwa hivyo walokle wangekuwa happy people sana.

let me teach you something. Happiness comes from your inside. When you have money, plus good health plus love you are liberated from the dark side of this world and heaven too. You will be happy no matter what.
 
Kuwa tajiri sio laana bali kutumia njia zisizo za halali kupata utajiri ndio kunako sababisha laana......kwa mfano kuna raha gani kwenye utajiri wa kumuua mama yako mzazi au kumfanya chizi ndugu yako wa damu....!!???
Yaah hiyo ni sawa ila kibongo bongo mtu akiwa tajiri lazima wamuhusishe na mambo kama hayo. Sijawahi ona mtu anakuwa tajiri mkubwa bila watu kusema ni wa mashetani. Coincidence?
 
browse.php

m3.jpg


Jacqueline Ntuyabaliwe-Mengi is a former Miss Tanzania. She started off her career as a singer, later won the Miss Tanzania beauty contest and subsequently represented her country at the Miss World pageant.

She is married to Tanzanian billionaire entrepreneur Reginald Mengi and are blessed with twin boys.
Watu wengine buana
 
Pesa!pesa! Kweli pesa ni mambo yote. Dr Mengi anajilia vinono bila kelele. Vijana pigeni kazi,tafuteni pesa,vinginevyo wanawake wazuri mtabaki kuwaita mama wadogo
Vijana wa kitanzania wameridhika kula kwa macho halafu manens mengi!!
 
browse.php

m3.jpg


Jacqueline Ntuyabaliwe-Mengi is a former Miss Tanzania. She started off her career as a singer, later won the Miss Tanzania beauty contest and subsequently represented her country at the Miss World pageant.

She is married to Tanzanian billionaire entrepreneur Reginald Mengi and are blessed with twin boys.
heri yao
 
They said...Every successful black man want to spend his money in the country of his colonial master. What a shame for this phd holder..alishindwa kwenda serengeti,katavi,mkomazi,ngorongoro,kilimanjaro?? Kazi kupaisha ulaya uku afrika for what??
well said, mkataa kwao mtumwa!
 
Back
Top Bottom