Matajiri na wanafamilia wengi wa kibongo hawaigi mfano huu wa malezi

Being a billionaire without Jesus is nothing. Money only brings a temporary happiness, but in order to have an eternal joy, there's no way other than surrendering your life to Jesus. That's the fact, like it or dread it.
Pokea "like" ya maandishi ili iwe na nguvu. jane kumbe wewe ni mtumishi wa Mungu. Hongera!!
 
Being a billionaire without Jesus is nothing. Money only brings a temporary happiness, but in order to have an eternal joy, there's no way other than surrendering your life to Jesus. That's the fact, like it or dread it.

Wewe wasema
 
You surrender yourself to Jesus withoutmoney then you expect to be joyful..? Those are the words of the people who have failed to reach certain point of success,be strong my dear.
We acha Mungu aitwe Mungu mafanikio bila Mungu ni useless.
 
browse.php

m3.jpg

Jacqueline Ntuyabaliwe-Mengi is a former Miss Tanzania. She started off her career as a singer, later won the Miss Tanzania beauty contest and subsequently represented her country at the Miss World pageant.

She is married to Tanzanian billionaire entrepreneur Reginald Mengi and are blessed with twin boys.

Nini cha kuiga kwa Mengi? Mnapata picha moja then you guys xoncoude
 
mwanziivi mafanikia huwa yanaletwa na nani? au huwa yanapatikanaje?
What a logical question!

Nianze kwa kusema mwanzoni kabisa kuwa wote wawili Mungu na Shetani wana uwezo wa kumpa mtu mafanikio. Itakushtua kusikia kuwa Shetani ana uwezo wa kufanya mtu kuwa tajiri lakini ndivyo ilivyo na hata Yesu analijua hilo. Na kuhakikisha hili yatupasa kuangalia maandiko yanasema nini?

Kwenye Mathayo 4:1-12, tunaona Yesu anachukuliwa na Roho Mtakatifu hadi nyikani ili ajaribiwe. Anafunga kwa siku 40 na akiwa katikati Shetani anamtokea na kumwambia afanye mambo kadhaa ambayo obviously ni kinyume na mapenzi ya Mungu, lakini anatumia Neno la Mungu kupangua hoja zote.

Sasa the most interesting part ya mazungumzo yao ni pale anapomchukua Yesu mpaka mlimani na kumwonyesha "milki zote za ulimwengu na fahari yake". (Note that phrase "na fahari yake"). Baada ya kumwonyesha hayo, Shetani anamwambia "Haya yote nitakupa ukinisujudia". Jibu la Yesu ni imeandikwa "msujudie Bwana Mungu wako na umwabudu yeye". Baada ya hapo Shetani anaondoka.

Sehemu nyingine katika Biblia inayotuonyesha Shetani ana mamlaka katika ulimwengu huu ni katika Yohana 14:30 pale ambapo Yesu anawaaga wanafunzi wake kabla ya mateso. Yesu anasema "Mimi sitasema mengi tena kwa maana yuaja mkuu wa ulimwengu huu" Mkuu wa ulimwengu huu ni nani? Ni Shetani.

So mpaka hapo utaona binadamu anakuwa under the control of a certain type of spiritual force ili kuendesha maisha yake hapa duniani. In other words, yote tunayoyaona kwa macho duniani yanatokea kwasababu kuna nguvu fulani ya kiroho nyuma yake. Tumeshaiona moja ya nguvu hizo ni nguvu ya kishetani. Nguvu nyingine ni ipi?

You guessed it. Nguvu nyingine ni nguvu ya Mungu kupitia mwanae Yesu Kristo. Yes, Mungu naye ana uwezo wa kuleta mafanikio. Biblia hiyohiyo inasema katika 1 Nyakati 29:12-13 kuwa "Utajiri na heshima hutoka kwako wewe, nawe watawala juu ya vyote na mkononi mwako mna uweza na nguvu..." Lakini katika 2 Wakorintho 8:9-10 Mtume Paulo anasema Yesu Kristo aliishi maisha ya kimasikini, ingawa alikuwa tajiri. Aliishi maisha hayo ili kupitia yeye sisi tuwe matajiri. Lakini tukirudi katika Agano la Kale tunakutana na Ibrahimu. Wote tunajua jinsi Ibrahimu alivyoishi maisha ya kitajiri hadi akafikia hatua ya kuunda jeshi lake mwenyewe. (Yaani alimiliki a private army yeye mwenyewe). Lakini pia aliweza kumiliki mifugo, fedha, na dhahabu nyingi sana. Soma hii katika Mwanzo 13:2

Biblia ina mifano mingi sana ya watu waliofanikiwa katika maisha yao kutokana na kumtegemea Mungu au mifano ya jinsi gani ambavyo Mungu anapenda tufanikiwe kifedha na kiuchumi. Yes, Mungu anapenda sana tufanikiwe katika kila eneo la maisha yetu iwe ni afya, familia nzuri, mashamba, magari na lolote utakalo.

Labda sasa utajiuliza kuna tofauti gani kati ya mafanikio ya Mungu na yale ya Shetani? Well, jibu la swali hili linapatikana kwenye nini hao wawili wanataka kufanikisha katika maisha yako.

Lengo kuu la Shetani ni KUHARIBU. Biblia sehemu moja inasema mwizi haji ila aibe na kuharibu. Ila mimi nimekuja ili muwe na UZIMA tena muwe nao tele. So the difference is KUHARIBU na UZIMA.

Shetani anampomtajirisha mtu anataka aende naye motoni siku ya hukumu. Kwa maana hiyo Shetani atatumia mbinu yoyote rahisi ili akufanye upate utajiri ili umuone mzuri kwa muda lakini yeye malengo yake muende motoni. Unaweza kuona kwenye mfano wetu wa awali kabisa anapimwambia Yesu amsujudie tu halafu atampa milki yote ya ulimwengu. Eti kirahisirahisi tu mtu unapata mali za dunia nzima kwasababu tu umemsujudia Shetani. Hujiulizi mara mbilimbili?

On the other hand, Mungu anakupa utajiri kama matokeo ya mtu ambaye roho yake imejengeka kwenye misingi ya NENO lake. Mungu anakutajirisha kwasababu wewe umeshakubali kuwa mtoto wake kwa kumkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako na hivyo kuwa tayari kwaajili ya kurithi naye Ufalme wake. Mungu hakupi utajiri kama rushwa kama afanyavyo Shetani bali anakupa kama ishara ya PENDO lake kwako. Kwahiyo utaishi maisha ya kitajiri hapa duniani, lakini muhimu kuliko yote utafanikiwa kuishi naye katika Ufalme wake ule ujao milele na milele.

Sasa kipi bora, kukubali maisha yako yaongozwe na Shetani halafu uishie motoni au kuwa mvumilivu kwa kukubali kuongozwa na Mungu kupitia mtoto wake Yesu Kristo ili uishi vizuri hapa duniani lakini pia mbinguni pale ambapo maisha yako duniani yatakuwa yamefika ukomo.

You are the one to make that decision by accepting Jesus as your LORD and your SAVIOR. Na wakati ni sasa!

Nadhani Mungu amenitia nguvu kukusaidia katika swali lako kwa kiasi fulani.
 
mfumo wa kutembea nusu uchi na watoto wako ama?????
 
Naona maskini wa humu JF mnajipa moyo kwa ku-quote mistari ya Bible, kama mnamjua Mungu sana, mbona hadi leo nyie ni waganga njaa tu, kazi kushinda JF kutwa..
 
Safi sana!!
 
Back
Top Bottom