singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Tembo wetu wanawajua vizuri sana hawa jamaaLEOPARD TOURS
LEOPARD TOURS
Afilisiwe....!!!nyalandu nae atumbuliwe, kuna vitalu aliwapa bure marafiki zake wamarekani
Bado tuna safari ndefu kwakuwa bado mchwa panya na nguchiro wamejaa tele kwenye serikali ya sasa... Na hawalali usiku na mchana wako busy wakijipanga kuficha na kulinda ubadhilifu wao huku wakifikiria njia mpya na salama zaidi za kuendelea kula.... Huyo mwigulu ni mmojawapoHII NCHI KWA HAPA ILIPOFIKIA INATAKA ROHO NGUMU NA YA KIKATILI KUIONGOZA NA ILI IWE KWENYE MSTARI...SHERIA ZA UBADHIRIFU WA MALI ZA UMMA ZIPEWE MENO ZAIDI NA ADHABU ZIONGEZWE IKIWEZEKANA WANYONGWE KABISA KWANI UWEPO WAO NDANI TAIFA HILI HAUNA FAIDA....BALI HASARA....
HEBU FIKIRIA MTU ALIYEISABABISHIA SERIKALI HASARA YA MABILIONI YA SHILINGI , ALAFU BAADA MWAKA MZIMA WA UENDESHAJI WA KESI ANAKUJA KUHUKUMIWA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA AU KULIPA FAINI YA MILIONI NNE AU TANO....HIVI HII KWELI NI HALALI ????
HII NI ZADI YA DHIHAKA NA KEJELI KWA WAPIJA KURA NA WALIPA KODI....HAYA NI ZAIDI YA MATUSI KWA WANANCHI....WANAOHANGAIKA KUKILA KUKICHA KUKOSA HUDUMA BORA ZA KIJAMII KWA UFINYU WA BAJETI WA WIZARA MBALI MBALI....IFIKIE WAKATI MAAMUZI MAGUMU LAZIMA YAFANYIKE MANUFAA YA UMMA...
Kwa kifupi hali inatisha sana........au tuongee wa msheikh watusomee albadir kwa mwenye kula mali ya umma.....Bado tuna safari ndefu kwakuwa bado mchwa panya na nguchiro wamejaa tele kwenye serikali ya sasa... Na hawalali usiku na mchana wako busy wakijipanga kuficha na kulinda ubadhilifu wao huku wakifikiria njia mpya na salama zaidi za kuendelea kula.... Huyo mwigulu ni mmojawapo