Matajiri karibuni muwekeze kanda ya ziwa.. Waarabu wameshindwa biashara ya kisomi..


sexologist

sexologist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Messages
2,294
Likes
48
Points
135
sexologist

sexologist

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2010
2,294 48 135
Mimi ni mzaliwa na mkazi wa kanda ya ziwa.. Kwa miaka mingi sekta ya usafirishaji wa abiria huku kanda ya ziwa imekuwa ikitawaliwa na waarabu kwa sehemu kubwa.. Na hilo kusababisha ubora wa usafiri (mabasi) kushuka kila kukicha. Hilo ni kutokana na upinzani mdogo wanaoupata na ukosefu wa menejimenti inayoenda na wakati (hakuna wasomi). Mathalani unapanda basi halina safety belt, viti ni mbao kutokana na cushion kuisha na wakati mwingne unaegemeza mkono kwenye chuma badala ya sponji, basi linavuja, hakuna vioo, unatoka Mwanza kwenda Kahama gari inaishiwa mafuta njiani.. Yaani hawa waarabu hawapo smart kabisa.. Huna jinsi inabidi kupanda tu hakuna usafiri mwngne. Mathalani nipo basini Mombasa Raha natoka Mwnz kwenda Kahama, matatizo ni yale yale..

Nakaribisha wawekezaji wasomi wanaojua kuendesha kampuni za usafiri kisasa.. Ikiwemo appreciatable customer care!
 
Laigwanan76

Laigwanan76

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Messages
540
Likes
11
Points
35
Laigwanan76

Laigwanan76

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2010
540 11 35
Vp Dialo naona hajanusa Benjamins sekta hiyo au?
 

Forum statistics

Threads 1,273,086
Members 490,268
Posts 30,470,815