Mataifa yanayoishi South Africa na kazi zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mataifa yanayoishi South Africa na kazi zao

Discussion in 'International Forum' started by rosemarie, Dec 15, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Wanigeria====madawa ya kulevya
  Watanzania====madawa ya kulevya na wizi
  Wakenya======Wezi kwenye makampuni na utapeli wa kupatia watu makaratasi(residence permit)
  Wazimbabwe====wezi
  Wamsumbiji=====ujambazi ule mbaya
  Wacongo=====kazi za ulinzi (mgambo) na wanapenda sana kukaa na familia zao
  Wazambia====wanaongoza kwa uoga-lakini wanapenda kununua vitu vya wizi
  Waganda=====matapeli
  Wasomali====biashara kwa kutumia hela za utekaji meli
  Waethiopia====wana pesa nyingi kuliko mataifa yote,tumeshindwa kujua vyanzo vyao vya hela kwa sababu ni wasiri sana
  tutaendeleza hii list siku si nyingi!!
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Aksante,so upo kwa watanzania au?coz umetumia lugha ya kisw,ya watanzania
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu tumekuja hapa kwa holday,lakini maisha tumekuta ni tofauti kabisa na huko,na hilo jambo limetushangaza sana
   
Loading...