Mataifa mengine mpaka raha;sijui sisi Tanzania level hii ya utawala bora na utawala huu wa sheria tutaifikia lini

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Muda huu nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya Aljazeera nikaona taarifa kuwa Jeshi la Polisi nchini Israel linapendekeza Waziri Mkuu wa nchi hiyo ambae ni sawa na Rais wa nchi kwa nchi nyingine,ashitakiwe kwa tuhuma za rushwa na ufisadi yeye na mke wake.

Najiuliza nchi kama zetu hizi tutafikia viwango kama hivi baada ya vizazi vingapi?

Nchi zetu hizi police wanaweza kuthubutu kupendekeza Raisi wa nchi ashitakiwe kwa rushwa na ufisadi tena kwa tuhuma za kupokea zawadi kinyume na sheria kutoka kwa matajiri?

Maendeleo tutayasikia tu kutoka katika nchi za wenzetu na hakika tutasubiri sana kufika huko.
 
weeeeeee!!
waziri mkuu utaanzaje kumsema hasa awamu hii?? yaan kabla usiku haujaisha utakua mabwepande
 
Kama CHADEMA walituambia Lowasa ni fisadi leo wanamuona mtakatifu na kumpa chama akiongoze kweli maendeleo kuyapata ni ndoto
Mbona hamjamahikati. Mna kila kitu. Polisi yenu. Mahakama ya makonda. Usalama wenu. Taku-cool ya Mnyeti. DPP wenu. IGP wenu.

Kila kitu mnacho serikali ya CCM, bado mnalia lia.
Nyinyi ni majuha
 
Muda huu nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya Aljazeera nikaona taarifa kuwa Jeshi la Polisi nchini Israel linapendekeza Waziri Mkuu wa nchi hiyo ambae ni sawa na Raisi wa nchi kwa nchi nyingine,ashitakiwe kwa tuhuma za rushwa na ufisadi yeye na mke wake.

Najiuliza nchi kama zetu hizi tutafikia viwango kama hivi baada ya vizazi vingapi?

Nchi zetu hizi police wanaweza kuthubutu kupendekeza Raisi wa nchi ashitakiwe kwa rushwa na ufisadi tena kwa tuhuma za kupokea zawadi kinyume na sheria kutoka kwa matajiri?

Maendeleo tutayasikia tu kutoka katika nchi za wenzetu na hakika tutasubiri sana kufika huko.

Wakati utafika tu, lakini mpaka hiki kizazi cha hawa 'maprofesa' njaa wakapumzike kwanza.
 
Muda huu nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya Aljazeera nikaona taarifa kuwa Jeshi la Polisi nchini Israel linapendekeza Waziri Mkuu wa nchi hiyo ambae ni sawa na Raisi wa nchi kwa nchi nyingine,ashitakiwe kwa tuhuma za rushwa na ufisadi yeye na mke wake.

Najiuliza nchi kama zetu hizi tutafikia viwango kama hivi baada ya vizazi vingapi?

Nchi zetu hizi police wanaweza kuthubutu kupendekeza Raisi wa nchi ashitakiwe kwa rushwa na ufisadi tena kwa tuhuma za kupokea zawadi kinyume na sheria kutoka kwa matajiri?

Maendeleo tutayasikia tu kutoka katika nchi za wenzetu na hakika tutasubiri sana kufika huko.
Mpaka tumuombe Kikwete radhi ya matusi tuliyomtukana
 
Wafuasi wa Chama walimtetea sana Mwenyekiti wao alipohusishwa na ngada
 
Mpaka tumuombe Kikwete radhi ya matusi tuliyomtukana
kikweye ndiye nyoka namba mbili wa taifa hili kwa sasa hii NI baada ya kuuweka utaifa pembeni na kuendekeza mapenzi kwa walafi wa madaraka namchukia kikwete.
 
Back
Top Bottom