Mataifa machache Afrika ndio yaliyo na maabara yenye uwezo wa kukagua na kupima kirusi cha Corona

Wewe mkenya huna lolote. Kila siku kuranda randa kwenye hili jukawaa na vijistori vyako visivyo na mbele wala nyuma. Unafikiri utamtisha nani?

Hivi mbona huwa unalialia Mkenya akiitaja Tanzania, ilhali wewe hukesha humu ukituambia mambo ya sijui akina Ole Sakina na Kenya, mkuki kwa binadamu mchungu ila kwa nguruwe mtamu.
 
Hivi mbona huwa unalialia Mkenya akiitaja Tanzania, ilhali wewe hukesha humu ukituambia mambo ya sijui akina Ole Sakina na Kenya, mkuki kwa binadamu mchungu ila kwa nguruwe mtamu.
Acha kuweweseka wewe nyang'au. Tulia, hakuna mtu anayekupapatikia na huu upuuzi wako. Unaelewa?
 
Hivi unajuaa kwamba kwenye huduma za afya ukiacha afrika kusini Tanzania tuko vizuri ndo maana hatukuhitaji msaada wa nchi yoyote kumtambua mgonjwa wa corona na anaendelea vizuri means huduma zetu za afya ziko vizuri
Hawa watanzania wana za ovyo sana,when kq plane was diverted to KIA coz of visibility wameongea shit sana kuhusu Kenyans,kumbe ni mwenzao amewaletea corona

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna nchi ambayo airport wanakupima Corona, nchi zote ni temperature screening tu,hata kwa nchi ambazo wana mandatory quarantine pia hazimpimi kila mtu ila ni yule anaye onyesha dalili au yule aliyekuwa na contact na muathirika.
Unatambuaje kwamba huyu alikuwa na contact ?
 
Tz we can do that, we have enough food, but tukifunga mipaka mtapata wapi chakula wa Kenya, si taifa lote litaangamia kwa njaa? au ntakula nzige? Umefikiria kuhusu hilo?
Sio namaanisha, ndivyo inafanywa na baadhi ya mataifa, kila mgeni unakua quarantined kwa siku kadhaa hadi itokee kabisa huna dalili zozote.
Kuna nchi zimefunga. Total lockdown, hamna cha quarantine wala kupima, haingii mtu wala kutoka. Na hizo ni zile ambazo hamna mgonjwa aliyegundulika miongoni mwao, ili kubaki wasafi, wamefunga vyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ijumaa tutakesha kwenye maombi kwa sisi wakatoliki na itakuwa ni historia corona itakuwa umepotea, hatutegemei tena vifaa wala madaktari tumeamua kumkabidhi yesu kristo atupiganie karibu kwenye maombi tumsifu yesu kristo
Parokiani kwetu maji ya baraka milangoni yaliondolewa na padre hakusema tupeane amani wakati wa ibada ya misa ya Jumapili!!
 
Wewe jamaa uko shallow mbaya; all serology test have high percentage of giving false positive or false positive result
Ninyi uwezo wenu ni mdogo sana, hakuna mtu anayefanyiwa "testing" bila kuwa na dalili za Corona infection", kumbuka hiyo testing haipimi kuwepo kwa virusi mwilini, bali inapima "antibodies", hivyo kama mtu hajaonyesha dalili yoyote ya maambukizi, hata hizo antibodies pia haziwezi kuonekana, Kwahiyo utapata " false negative".
Hivi mnadhani kwanini GoK iliwaachia wale wachina waingie nchini lakini wajiweke wenyewe chini ya karantini majumbani mwao kwa siku 14?, kwanini wasingewapima moja kwa moja maabara na kujua kama wana virusi au hapana?

Hii mada inahitaji elimu ya "Microbiology&Virology", sasa msilazimishe kuchangia mada ambazo ni nje ya uwezo wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom